Jumapili ya leo watu tume-GwajimanizeSubiri kidogo mkuu, bado tunamsikiliza Gwajima kisha tutarejea na hapa
Kila kitu iwe, ni taasisi ya umma, ya kubinafishwa 100% , iwe ppp bila kuwa na uongozi Bora yote yataishia kwenye maneno ya kisiasa yakisaidiwa na uharibifu wa vyombo vyetu vya Haki kuanzia Polisi., mwendesha mashtaka, mahakama za rostam, Ofisi zingine za utoaji huduma na ajiraKukosa utawala bora ni pamoja na kukosa uwazi au transparency. Hilo ndilo giza unalolisema. PPP isipoingiliwa na wanasiasa kwa malengo binafsi yaliyovikwa joho la UZALENDO ni jambo jema kabisa.
Professor ni mpotoshaji mnoo,hivi kama si bomba lililojengwa awamu ya nne na ndio likawa uti wa mgomgo wa uzalishaji umeme hii nchi ingelikuwa wapi .Inashangaza Professor Mzima hana taarifa za kina kama hizi.Kwa kumbukumbu yako tu ,hilo bomba la gesi hadi leo bado linazalisha umeme zaidi ya asilimia thelathini hata baada ya ujio wa bwawa la Mwalimu Nyerere.Huyu Prof amekuwa Nyumba kama wanavyoropokaga Nyumba bila ya utafiti wowote ule.Kuna Kiongozi moja WA PPP ambaye aishi kuendeleza wimbo wa PPP kama ndio dawa ya matatizo yetu bila kuangalia tumetika wapi , tupo wapi na tunaenda wapi.
Kama Prof anavyozungumzia.
View attachment 3352718