Kama Tume ya yule Jaji kuhusu yale mauaji ya mwaka jana ilikuja na yale matokeo, mnashangaa nini yanaendelea mahakamani?

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,828
Reaction score
165,667
Haya ndio matokeo na huu ni muendelezo tu wa kikundi fulani cha watu kupanga na kuamua kila kitu.

Hata hivyo, mjue tu hawa watu hawana amani ya moyo japo wanapata kila wanachokitaka.

Msifikiri hata Yuda alijinyonga kwa bahati mbaya, bali yalkuwa niatokeo ya nafsi yake kumsuta.
 
Polepole alitutahadharisha mapema kabisa ya kwamba wahuni siyo watu wazuri, tukampuuza. Matokeo yameanza kuonekana.
 
Kabisa mkuu, dhamira inaumiza sana, ukweli Wacha uitwe ukweli na uongo uitwe uongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…