Kama tunapenda pepo Kwanini tunaogopa kifo

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Mtu hata akifanikiwa akapata hela akikaa peke yake anawaza kifo.sasa Kama mbinguni Ni pazuri na umepanga uende usigeuke nyuma ki face kifo
 
Uzi wako una saa moja zima haujapata mchangiaji hata mmoja. Binadamu tukisikia kifo ujanja mfukoni tunakuwa wapole wakati kifo yeye hajui hilo yeye anatusubiri na anaamini sisi na yeye bwana kifo ni marafiki na iko day tutakutana.
 
Tena leo ni sikukuu, nani aingize mawazo ya kufa kufa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…