ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Mtu hata akifanikiwa akapata hela akikaa peke yake anawaza kifo.sasa Kama mbinguni Ni pazuri na umepanga uende usigeuke nyuma ki face kifo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena leo ni sikukuu, nani aingize mawazo ya kufa kufa?Uzi wako una saa moja zima haujapata mchangiaji hata mmoja. Binadamu tukisikia kifo ujanja mfukoni tunakuwa wapole wakati kifo yeye hajui hilo yeye anatusubiri na anaamini sisi na yeye bwana kifo ni marafiki na iko day tutakutana.