mirindimo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2009
- 901
- 1,742
Ukifika Ofisi za Tazara unaweza kukuta nusu ya wafanyakaza hawapo kazini hata wiki nzima na kwao hiyo ni normal kabisa.
Mkurugenzi akitoka tu na wao hupanga lini niende ofisini lini nisiende nitoke saa ngapi, kama kweli tunataka matokeo yenye tija na hizi reli tulizozijenga kwa hela nyingi za kukopa namshauri mama afumue pale abaki Mkurugenzi tu.
Kuna wafanyakazi pale wanafanya kazi kama Ofisi ya baba. Waziri wa Uchukuzi fanya zaiara ya ghafla pale utani shukuru.