Zinatosha kwa sasa maana Mh. Makamba amesema rekord tuliyofikia tangu nchi hii kuzaliwa, ni megawatts 1330Umejiuliza kama hizo 1600MW zinatosha au lah?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zinatosha kwa sasa maana Mh. Makamba amesema rekord tuliyofikia tangu nchi hii kuzaliwa, ni megawatts 1330Umejiuliza kama hizo 1600MW zinatosha au lah?
Bahari ipo tuchepushe maji kwenye bahari yaende bwawa la mwalimu nyerere rahisi tuu au maji ya chumvi hayafai.???Tubadilike watanzani tuanze kupanda miti tutalaume tanesco mpaka lini.idadi ya watu imeongezeka. watu wanao ingiza umeme ni wengi.Lakin Uharibifu wa mazingira umekidhiri sana.watu wanakatakata ovyo miti ndio chanzo cha chemichemi kukauka.
watanzania tushazoeza fix, na uzuri wetu hatunaga ubishi. So watawala wana enjoy kweli kutawala taifa lisilo na uwezo wa kuhoji kwa vitendo.Jana TANESCO wametoa taarifa kuwa kuna upungufu wa Megawati 300 kutokana na ukame na matengenezo yanayoendelea
Sasa nikawaza kama tunazalisha jumla ya Megawati 1600 basi kukitokea upungufu wa Megawati 300 ni umeme mdogo sana ukilinganisha na uzalishaji wetu,
So inakuwaje upungufu wa megawati 300 kati ya 1600 unasababisha mgao mkali kiasi hiki?
Maana kuna baadhi ya miji umeme unakatika masaa 16 kwa siku, haya yote kwa upungufu wa megawati 300 pekee!?
watamteka, lile la kwanza tu bado wanahangaika nalo.Dr. Bashiru arushe tena kombora la pili!
watamteka, lile la kwanza tu bado wanahangaika nalo.
Hana ujasiri huo, hata lile la kwanza ilikuwa bahati mbaya tu, hakujua itasambaaDr. Bashiru arushe tena kombora la pili!
Hana ujasiri huo, hata lile la kwanza ilikuwa bahati mbaya tu, hakujua itasambaa
Wapi hukoMungu ni mwema sana
Huku niliko leo wamekata mara Moja tu😊😊😊😊
Mitaa ya Ikulu😊😊😊😊Wapi huko