Kama tunazitaka mali tutazipata kwenye hustle, kama tunaumizwa na Wanawake aminini Wanangu tutawakuta wengine mbele

Magical power

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2022
Posts
2,158
Reaction score
5,626
Wakuu mnisikilize

Kwasasa Wanawake watakuacha saaana tu, Mabinti hawatodumu kwenye maisha yako ila lisikupe shida, kanuni ya maisha ni kuwa Paka hakai na Msela, mara atakwambia haupo romantic yani hujui kubembeleza, utawezaje Mwanangu wakati kichwa kinawaka moto na maisha yanataka kupetiwa ili vitu viende.

Kuna wakati atakwambia hakuna Mwanaume busy kwa Mwanamke anayempenda lakini anasahau maisha ya Msela akishika simu sometimes kuna mchongo anaosikilizia anauchungulia kama umetiki, kuna wakati anawasha data sio kuchat bali kuona kama Email imejibiwa ama kuna tangazo la ajira.

MWANANGU kwasasa utaitwa kila jina, tushawahi shuhudia Diamond akiitwa Domo na sasa Mabinti wanasema ana lips denda, tushawahi shuhudia Wanetu wanaambiwa “Wewe sio type yangu” ila wapo busy kulamba vitambi vya Wakongwe na kujibebisha eti Dady, atasema sidate na Watoto ila analala na Mwanaume umri wa Babu yake.

WANANGU kama tunazitaka mali tutazipata kwenye hustle, kama tunaumizwa na hawa Mabinti na Wanawake aminini Wanangu tutawakuta wengine mbele, tuwe BIZE SAAANA kwakuwa wao ni sehemu ndogo sana ya maisha yetu, tunao Ndugu na Wazazi wetu wanaotaka ushindi wetu.

WANANGU tujibu texts zao pale ambapo muda umepatikana, tupokee simu pale ambapo hakuna mishe nyingine, tuwe busy tupambanie maisha, wao ajira zao zipo ndani ya nguo zao wengi wao, sisi ajira zetu zipo ndani ya jasho letu, mpaka mwisho Wanangu, wakisema sio romantic fresh, wakisema hatujali fresh sisi hatuna muda mwingi wa kujiteteta tunasaka USHINDI.

#magical power
 
Uzuri wa teknolojia unaweza zima konektion ya apps hautaki ziwe online na zingine kuendelea kuwepo online

Hata WhatsApp unazima paaaaap, huku unasubiria emails hata unaamua unapekua kama tiktok, Instagram n.k.
 
Unatufuta hela ile unazipata,unapata stroke au unakufa.Ishi NOW ndio experience nzuri,mimi nlishasema niwe na hela nisiwe na hela mbususu lazima nile,na haipingwi.Sasa wewe endelea kuiweka akili yako sehemu moja kama mnara eti tafuta hela....mbususu utazikuta kakwambia nani aisee...😇
 
Wakuu mnisikilize

Kwasasa Wanawake watakuacha saaana tu, Mabinti hawatodumu kwenye maisha yako ila lisikupe shida, kanuni ya maisha ni kuwa Paka hakai na Msela, mara atakwambia haupo romantic yani hujui kubembeleza, utawezaje Mwanangu wakati kichwa kinawaka moto na maisha yanataka kupetiwa ili vitu viende.

Kuna wakati atakwambia hakuna Mwanaume busy kwa Mwanamke anayempenda lakini anasahau maisha ya Msela akishika simu sometimes kuna mchongo anaosikilizia anauchungulia kama umetiki, kuna wakati anawasha data sio kuchat bali kuona kama Email imejibiwa ama kuna tangazo la ajira.

MWANANGU kwasasa utaitwa kila jina, tushawahi shuhudia Diamond akiitwa Domo na sasa Mabinti wanasema ana lips denda, tushawahi shuhudia Wanetu wanaambiwa “Wewe sio type yangu” ila wapo busy kulamba vitambi vya Wakongwe na kujibebisha eti Dady, atasema sidate na Watoto ila analala na Mwanaume umri wa Babu yake.

WANANGU kama tunazitaka mali tutazipata kwenye hustle, kama tunaumizwa na hawa Mabinti na Wanawake aminini Wanangu tutawakuta wengine mbele, tuwe BIZE SAAANA kwakuwa wao ni sehemu ndogo sana ya maisha yetu, tunao Ndugu na Wazazi wetu wanaotaka ushindi wetu.

WANANGU tujibu texts zao pale ambapo muda umepatikana, tupokee simu pale ambapo hakuna mishe nyingine, tuwe busy tupambanie maisha, wao ajira zao zipo ndani ya nguo zao wengi wao, sisi ajira zetu zipo ndani ya jasho letu, mpaka mwisho Wanangu, wakisema sio romantic fresh, wakisema hatujali fresh sisi hatuna muda mwingi wa kujiteteta tunasaka USHINDI.

#magical power
Nilikuwa kijiweni hapa tnakunywa ulanzi ,nikaamua kusoma mada hii kwa sauti ,kichekesho vizee tunavyokunuwa navyo ulanzi vimeniangalia kwa huzuni maana wanajua hawana tena muda wa haya uliyosema Ila vijana waliopo hapa wamenipa gwala kuashiria kuwa ni maneno kuntu .

Nisamehe Sana maana nimewaambia ni mada naiandika maana naenda kwenye mkutano wa kimataifa wa vijana na Mimi ndiye mxungumzaji mkuu 😀😀

Wameniamini pia
 
Hatukwepeki 😅😅😅hata ukiwa busy kiasi gani utatumiss tu😅😅😅😅😅😅😅.
 
Nilikuwa kijiweni hapa tnakunywa ulanzi ,nikaamua kusoma mada hii kwa sauti ,kichekesho vizee tunavyokunuwa navyo ulanzi vimeniangalia kwa huzuni maana wanajua hawana tena muda wa haya uliyosema Ila vijana waliopo hapa wamenipa gwala kuashiria kuwa ni maneno kuntu .

Nisamehe Sana maana nimewaambia ni mada naiandika maana naenda kwenye mkutano wa kimataifa wa vijana na Mimi ndiye mxungumzaji mkuu 😀😀

Wameniamini pia
Umewaingiza mjini😂😂😂
 
Back
Top Bottom