Kama Tundu Lissu anaandika Vitabu kwa ajili ya UN na EU basi uwezo wake Kiakili ni mkubwa sana. Nimewaona Waandishi wa Ulaya walivyo Akili Kubwa!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Nimwkuwa nikifuatilia Press conferences za viongozi mbalimbali wa dunia baada ya Russia kuivamia Ukraine na kugundua Tanzania hatuna kabisa Waandishi wa habari wenye uwezo wa Kuelewa na Kuhoji.

Nikajiuliza imekuwaje Tundu Lissu akapata kazi UN na EU? Au ni mchongo?

Kama ni kweli yuko UN/EU na ameingia kihalali basi siyo siri TAL ni Akili kubwa aka Bongo Bahati Mbaya.

Maendeleo hayana vyama!
 
hebu tupe hata link ya hayo machapisho nasi tupate hayo madini, maana msomi ni msomi tu na baniani anaweza kuwa mbaya lakini kiatu chake dawa
 
Nimwkuwa nikifuatilia Press conferences za viongozi mbalimbali wa dunia baada ya Russia kuivamia Ukraine na kugundua Tanzania hatuna kabisa Waandishi wa habari wenye uwezo wa Kuelewa na Kuhoji.

Nikajiuliza imekuwaje Tundu Lissu akapata kazi UN na EU? Au ni mchongo?

Kama ni kweli yuko UN/EU na ameingia kihalali basi siyo siri TAL ni Akili kubwa aka Bongo Bahati Mbaya.

Maendeleo hayana vyama!
Tundu Lissu ni think tank
 
Back
Top Bottom