Kama Tundu Lissu anajisikia salama zaidi kukaa Ubelgiji akae tusimpangie hakuna mbadala wa Uhai

Kama Tundu Lissu anajisikia salama zaidi kukaa Ubelgiji akae tusimpangie hakuna mbadala wa Uhai

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Dunia ni kijiji kinachoendeshwa kwa teknolojia

Tumwache Tundu Antipas Lisu aishi sehemu anayohisi yuko salama zaidi, Tusimpangie

Ameshapitia magumu mengi ikiwemo kuchungulia kaburi

Dominica njema
 
Jo tunahitaji kujua pia walio mchunguliza kaburi,na waliofanya aone sehemu salama ni mnapotaja wanachukua chako mapema 🤔
 
Jo tunahitaji kujua pia walio mchunguliza kaburi,na waliofanya aone sehemu salama ni mnapotaja wanachukua chako mapema 🤔
Makamu mwenyekiti siyo mtendaji bwashee, atulie zake tu!
 
Back
Top Bottom