Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Tulikua hatununui chochote njeKwani wakati wa Nyerere tulikuwa tunauza nini nje?
Tulikuwa na dhiki lakini sarafu ilikuwa strong against dollar.
Saa nyingine huwa nafikiria kuchapisha pesa tu ili kumaliza matatizo ya pesa.
Madini mna export?Una bidhaa bora za ku export mbali na madini?
Tumshukuru sana Mama yetu kipenzi Dr Samia Suluhu Hasan kwa kuwezesha shilingi yetu kuporomoka kwa kiwango ambacho hakijawahi kufikiwa na raisi yeyote.....asante sana mama!JIBU: SARAFU YETU INAPOROMOKA JAMANI HADI HURUMA.
Jana Tsh 2580 ilikua ni sawa na DOLLA 1.
Nashukuru umesema haujasoma uchumi, maana mambo yangekuwa rahisi hivyo pesa ya Japan(Japanese yen) ingekuwa juu kuliko Ksh ya KenyaLeo nitaandika kama shairi tu labda nitaeleweka.
Sijasomea uchumi kokote
Nimewaza mwenyewe tu juu ya sarafu yetu
Sarafu yetu inaporomoka.
Hatuuzi nje.
Hatupati dolla nyingi.
Matokeo yake dolla inakosekana sokoni.
Matokeo yake ili tuipate dolla inabidi tutumie shillingi nyingi.
Matokeo yake ya mwisho ni nini?
JIBU: SARAFU YETU INAPOROMOKA JAMANI HADI HURUMA.
Jana Tsh 2580 ilikua ni sawa na DOLLA 1.
What do you expect ndugu zangu.
Ukitoa kitu chako kwa wingi maana yake hakina thamani.
Hakuna balance nzuri kati ya dolla na shilling yetu.
Hawataki hilo kwakuwa wao wamewekeza zaidi njeLeo nitaandika kama shairi tu labda nitaeleweka.
Sijasomea uchumi kokote
Nimewaza mwenyewe tu juu ya sarafu yetu
Sarafu yetu inaporomoka.
Hatuuzi nje.
Hatupati dolla nyingi.
Matokeo yake dolla inakosekana sokoni.
Matokeo yake ili tuipate dolla inabidi tutumie shillingi nyingi.
Matokeo yake ya mwisho ni nini?
JIBU: SARAFU YETU INAPOROMOKA JAMANI HADI HURUMA.
Jana Tsh 2580 ilikua ni sawa na DOLLA 1.
What do you expect ndugu zangu.
Ukitoa kitu chako kwa wingi maana yake hakina thamani.
Hakuna balance nzuri kati ya dolla na shilling yetu.
Short kati ni kuacha kutumia Dola ....!!! Kwa namna gani?Hakuna balance nzuri kati ya dolla na shilling yetu.
Huwezi kulinganisha japan na China na Tanzania na Kenya boss. Hao wenzetu wanashusha thamani ya sarafu zao kwasababu wanazalisha sana bidhaa hivyo wakitaka kuuza sana katika masoko ya kimataifa lazima washushe thamani ya sarafu zao.Nashukuru umesema haujasoma uchumi, maana mambo yangekuwa rahisi hivyo pesa ya Japan(Japanese yen) ingekuwa juu kuliko Ksh ya Kenya
Ni tatizo la inchi hii la muda mrefu la wanasiasa watawala kuto kuheshimu na kuthamini taaluma za watu na kuhendekeza "main power fully of politics" kuliko ujuzi wa watu hasa walio inje ya mlengo wao.
Unaposoma maandiko jifunze na kusoma psychology za waandishi usije ukadhani sijui kinachotokea TANOIL niliandika vile makusudi ili nifikishe ujumbe wa kile nilicholenga. Na najua niliandika kwenye sentensi moja kile ulichotaka niandike ila hukukiona.Uzuri umesema huelewi uchumi, ningekunanga hapa. Sababu ya dollar kuwa 2500+ si hiyo uliyosema. πππ.
Wewe mzuri kuandika. Ila ningekushauri vipo vitu unatakiwa kujifunza sio kuandika moja kwa moja. Kama lile swala la siku ile kuhusu TAN oil na leo hili la dollar. Jifunze zaidi
Na hili la dollar liko hivi hivi. Au unahitaji ufafanuzi?Unaposoma maandiko jifunze na kusoma psychology za waandishi usije ukadhani sijui kinachotokea TANOIL niliandika vile makusudi ili nifikishe ujumbe wa kile nilicholenga.