Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 16,583
- 42,992
Hivi wenye maamuzi mnataka tuendelee kutekwa Kwa miaka 15? Mfululizo ? Tulianza kutekwa 2015-2020 ndugu zetu hatuwaoni mpaka Leo.
Tukajua pamepoa mara tukaanza tena kutekwa 2020-2024!
Sasa mnataka tuendelee kutekwa 2025-2030? Hapana msitake Kila mtu aamue kulipa kisasi Cha utekaji mliyotufanyia yanatosha tupeni healing time kabla roho ya kisasi haijahamia barracks.