Kama tutakodi mitambo ya kuzalisha umeme kwa kisingizio cha ukame basi itabidi kila mtu ajipigie tu

Kama tutakodi mitambo ya kuzalisha umeme kwa kisingizio cha ukame basi itabidi kila mtu ajipigie tu

Kibosho1

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2017
Posts
2,621
Reaction score
4,293
Naona mgao wa umeme kwa sasa ni rasmi japo hakuna tangazo la TANESCO. Tulikaa miaka zaidi ya mi5 bila kusikia mgao,na ndani ya muda huo wananchi hasa wa vijijini kufungiwa umeme kwa bei chee kabisa.

Ila sasa toka ameingia ndugu yetu JM kelele zimekuwa nyingi na visingizio ambavyo kwa kweli JPM angekuepo hata kuongea asingethubutu.

Sasa nchi hienda ikakodi mitambo ya dharura kwa ajili ya kuzalisha umemee. Kwa kweli swala hilo halitovumilika kwa sababu ni upigaji wa wazi kabisa,kitakachotoa basi kila mtu akipata nafasi apige tu na yeye.

Mzalendo wa kweli yuko wapi kwa sasa?
 
Back
Top Bottom