EllySkyWilly
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 2,204
- 2,085
Hii ni nzuri kidogo na inaeleweka.
Mkuu kama unaona maisha yako ni ya uchumi wa kipato cha kati na unaendekeza kugawa pesa kwa wanawake kamwe hutokuja kuendelea. Utabakia hapohapo.
Wanawake wafundishwe kujitafutia. Mbona wanawake wakizungu wao ukienda nao hotelini wanajilipia wenyewe ina maana wao sio wajukuu wa Eva.
Hawa wakwetu wamejisahau mno. Ukimwomba tu urafiki watsap mkaanza kuchati anaanza kukuomba pesa. Kwamba sio ndio ATM. Mbona wanajiabisha sana.
Nakazia kama tu kama unapenda kusaidia saidia watoto yatima na wasio jiweza. Hao watoto watakuombea zaidi utafanikiwa. Sasa hao wengine watadai na ya kutolea na mwisho wake atakwambia kwani nilikuomba.