Kama udaktari ndo hivi bora niwe mganga wa jadi kama brother Mshana jr

Kama udaktari ndo hivi bora niwe mganga wa jadi kama brother Mshana jr

Eminem jr

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2018
Posts
2,003
Reaction score
4,584
PROFESA MMOJA ALIWAAMBIA WANAFUNZI
WAKE KAZI YA UDAKTARI INAHITAJI kutokuwa
na kinyaa na umakini KISHA AKAINGZA
KIDOLE MATAKONI MWA MAITI AKALAMBA
akawaamuru nao wafanye hivyo WAKAFANYA
kisha akawaambia kwenye somo la kinyaa
mmefaulu ila umakini mmefeli wote ''mimi
niliingza kidole cha kati nikalamba cha pili''
KILICHOTOKEA ALIZIKWA DAKTARI KABLA YA
MAITI
 
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji87][emoji87][emoji87][emoji30][emoji30][emoji30][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]alizikwa daktari kabla ya maiti

Jr[emoji769]
 
Back
Top Bottom