Kama Ufaransa Ina huruma na wapalestina basi iwape eneo la Riviera waishi huko - Mike Huckabee

Kama Ufaransa Ina huruma na wapalestina basi iwape eneo la Riviera waishi huko - Mike Huckabee

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Balozi wa Marekani nchini Israel Mike Huckabee anasema "haifai" kwa Ufaransa, au mtu mwingine yeyote, kulazimisha "taifa la Palestina" kwa wakati huu ambapo Israel watu wake 1,200 waliuwawa na wengine kutekwa nyara na magaidi wa Hamas

Aliongeza kuwa ikiwa Wafaransa wana huruma sana juu ya Wapalestina kuwa na serikali yao basi wanaweza kutoa sehemu ya Riviera huko ufaransa wawape kuonyesha upendo wao kwa magaidi hao.

 
siku zote kichwa kisicho na akili ni mzigo kwa shingo
 
siku zote kichwa kisicho na akili ni mzigo kwa shingo
Mkuu wa majeshi wa Israel alishawaambia magaidi wa kipalestina kuwa “ Mtoto anaweza kuchezea matiti ya Mama yake lakini hawezi kabisa kuchezea Korodani ( Makende ) ya baba yake!!!!!!
 
Mkuu wa majeshi wa Israel alishawaambia magaidi wa kipalestina kuwa “ Mtoto anaweza kuchezea matiti ya Mama yake lakini hawezi kabisa kuchezea Korodani ( Makende ) ya baba yake!!!!!!
Sasa pale USA kuna misitu mingapi?kuna majangwa mangapi?
Wanawaonea huruma ukraine wakati wana maeneo ya wazi kibao pape USA na hawataki kuwapa maeneo kuwaokoa na mrusi mtoa roho...
HUONI HUYO ANAYEWAAMBIA FRANCE HIZO HABARI NI EMPTY MIND,ANGEANZA KUMWAMBIA RAISI WAKE ANAYEHAHA NA CEASE FIRE PALE UKRAINE KWAMBA MKUU TUWAPE MJI UKRAINE WAHAME NA SIO KUMWITA PUTIN KICHAA...umeipata pointi yangu sasa,mkuu wa majeshi wenu nyie wa mchongo atajiuzulu kama alivyojiuzulu yule aliyepita ni swala la mda tu
 
Marcon ana laana ya kusex na kizee kile... kuna umri mwanamke akifika hatakiwa kusex sasa Marcon ndio kinachomsumbua kukosa unyumba.. maana anaweza kumua kikongwe akikilamba..

Yeye ni christian and anataka kunyang'anya ardhi za Waisrael kuwapa Arabs? Balozi kampa makavu vizuri sana... Huu Mgogolo hata Saudia sijui why anaungilia wakati hana hadhi yeyote ile sio kwenye Utu wala ardhi... bora atulie tu Tutaitaka Khaybar ajue aka Medina ni Mali ya Jews ajue hata kama Familia ile ya Saudia ina vina saba na Jews
 
Back
Top Bottom