Kama ukianza kufuga ungeanza kufuga mnyama gani

Kama ukianza kufuga ungeanza kufuga mnyama gani

Alejandroz

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2017
Posts
329
Reaction score
413
Salaam ndugu wakulima nawafugaji
Husika na mada tajwa hapo juu
Twambie wewe ungefuga myama gani?
Karibu
 
Hii maada ipo mkuu hakuna kilichosahaulikaga jf anyway me kuku tu nawakubali
 
Anza na kuku wa kienyeji, then move to kondoo au mbuzi. Ila kama capital kubwa ipo, anza na ngombe wa maziwa
 
Binafsi mimi napendelea kilimo zaidi, hasa cha mboga, lakini kulingana na mada yako kama ukiniambia ni lazima nifanye ufugaji, basi nadhani kuku ndiyo chagua langu.
Kuku wa aina gani mkuu
Kuna kisasa, kienyeji, nyama, mayai, n.k
 
Binafsi mimi napendelea kilimo zaidi, hasa cha mboga, lakini kulingana na mada yako kama ukiniambia ni lazima nifanye ufugaji, basi nadhani kuku ndiyo chagua langu.
Unalina mboga gani? na soko kuu lako ni wapi?
 
Tuelekezane hapa wengine nao wafaidike
Juzi nimetoka nunua Bundle la vitabu Pdf. Ufugaji wa Kuku wa kienyeji na kisasa. Vilikuwa vitabu zaidi ya .

Kuanzia ujenzi wa Banda, Ramani yake, aina za mabanda. Kuhusu kuku, mbegu ,aina zake.
Kuandaa chakula, kutuza vifaranga.
Chanjo na dawa za kuku, vimeshiba vyema.
 
Back
Top Bottom