Kama ukianza kufuga ungeanza kufuga mnyama gani

Kama ukianza kufuga ungeanza kufuga mnyama gani

Juzi nimetoka nunua Bundle la vitabu Pdf. Ufugaji wa Kuku wa kienyeji na kisasa. Vilikuwa vitabu zaidi ya .

Kuanzia ujenzi wa Banda, Ramani yake, aina za mabanda. Kuhusu kuku, mbegu ,aina zake.
Kuandaa chakula, kutuza vifaranga.
Chanjo na dawa za kuku, vimeshiba vyema.
Ulipoteza hela zako. Taarifa yote IPO mtandaoni. Epuka matapeli
 
Back
Top Bottom