Eti kwenye familia moja ukute kuna migogoro mitatu inayohitaji kusuluhishwa kwa wakati mmoja.
- Mgogoro wa kwanza, baba kauza shamba la familia pesa kaenda kuhonga malaya wake.
- Mgogoro wa pili, mama kapatiwa ujauzito na kibeniten tena kilichokuwa kimepanga nyumba ya jirani.
- Mgogoro wa tatu, kijana mkubwa wa hii familia kala ada ya chuo na karudishwa nyumbani.