Kijana Mkubwa lazima aondoke nyumbani. Kula Ada ya Chuo kisha anarudi nyumbani kuwapa mzigo wazazi haikubaliki kabisa... Shenz taip!Eti kwenye familia moja ukute kuna migogoro mitatu inayohitaji kusuluhishwa kwa wakati mmoja.
- Mgogoro wa kwanza, baba kauza shamba la familia pesa kaenda kuhonga malaya wake.
- Mgogoro wa pili, mama kapatiwa ujauzito na kibeniten tena kilichokuwa kimepanga nyumba ya jirani.
- Mgogoro wa tatu, kijana mkubwa wa hii familia kala ada ya chuo na karudishwa nyumbani.
Nawapa hongera na kuwapigia makofi kwa uzembe wao wa kujitakiaEti kwenye familia moja ukute kuna migogoro mitatu inayohitaji kusuluhishwa kwa wakati mmoja.