Kama ukinifanikishia hili, nakuahidi utapata zaidi

Status
Not open for further replies.

Airmanula

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Posts
3,527
Reaction score
5,762
Hello wananzengo

Jamani jamani jamani, Niko serious, utani matusi na mizaha isiyokuwa na tija haitapokelewa.

Give me 3 million or 4 million na nakuahidi nitakachopata ambacho ni zaidi ya milioni 250, nitakupa milioni 50. Nina uhakika na nachoenda kufanya.

Guarantee tutaingia makubaliano kisheria kabisa, nina asset kama nyumba na kiwanja. This is serious. Wengi wana hela lakini hawajui wazifanyie nini ila wengine hatuna lakini nafasi kama hizi zinatujia kila uchwao.

When you are man, you have to find money and more money, and more and more money, women, bia, starehe, zipo tu but money, power. Uji-estalish as a man kwanza ndio mengine yafuate.

Mawasiliano zaidi yatafanyika pm.

Asante na karibu for serious minded.
 
Uza nyumba au kiwanja chako kwa hio 4m ili upate hio 250m then Jenga ingine.
 
Normality mtu akiwa na njaa kali sana hata upeo wa kufikiri hupungua na kisha huwaza kama mwendawazimu. Kama unachokifikiria kinawezekana basi uza hata kiwanja ( achilia mbali nyumba) ufanye uliyokusudia then ukipata pesa utanunua kingine na sio kutuletea hadithi za Abunuasi hapa
 
Huyo mtu hata humu anaweza kuwepo tu sasa upo kule ambapo nipo mimi what's the difference!
Sasa wewe kama una akili unashindwa vipi kupata 4m ili upate 250m ? Uza asset zako kwa bei uitakayo si una uhakika wa 250m ? Kama ungekuwa na akili ungeweka bond kiwanja kwa mtu
 
Hata wewe ni mwendawazimu kufikiria tu jibu la kumpa mtu kua uwendawazimu!! Huwezi kuchangia hoja hadi umkashifu mtu, huo kwangu mimi pia ni uwendawazimu mana ni kama vile nmekulazimisha uje na wakati kuna thread zaidi ya milioni humu kuondoa hii ya kwangu. Gooday amigo.

Back
Top Bottom