Kama ukinifanikishia hili, nakuahidi utapata zaidi

Kama ukinifanikishia hili, nakuahidi utapata zaidi

Status
Not open for further replies.
tutolee ujinga hapa
Hello wananzengo

Jamani jamani jamani, Niko serious, utani matusi na mizaha isiyokuwa na tija haitapokelewa.

Give me 3 million or 4 million na nakuahidi nitakachopata ambacho ni zaidi ya milioni 250, nitakupa milioni 50. Nina uhakika na nachoenda kufanya.

Guarantee tutaingia makubaliano kisheria kabisa, nina asset kama nyumba na kiwanja. This is serious. Wengi wana hela lakini hawajui wazifanyie nini ila wengine hatuna lakini nafasi kama hizi zinatujia kila uchwao.

When you are man, you have to find money and more money, and more and more money, women, bia, starehe, zipo tu but money, power. Uji-estalish as a man kwanza ndio mengine yafuate.

Mawasiliano zaidi yatafanyika pm.

Asante na karibu for serious minded.
 
Kamari hazijawahi kumuacha mtu salama,itakua ushatamanishwa ela za mabepari uko kwenye forex,ukipigika ndo utapata adabu,shilingi hamsini utaiona nyingine,Kila la kheri mkuu
 
Sijawahi kuipenda forex. Una lingine mkuu ??
Kamari hazijawahi kumuacha mtu salama,itakua ushatamanishwa ela za mabepari uko kwenye forex,ukipigika ndo utapata adabu,shilingi hamsini utaiona nyingine,Kila la kheri mkuu
 
GOOORNING BILLIONAIRE.

Vp ile saa kule Q-Net wamekuuzia mil 4 au 5 mkuu?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom