Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hello wananzengo
Jamani jamani jamani, Niko serious, utani matusi na mizaha isiyokuwa na tija haitapokelewa.
Give me 3 million or 4 million na nakuahidi nitakachopata ambacho ni zaidi ya milioni 250, nitakupa milioni 50. Nina uhakika na nachoenda kufanya.
Guarantee tutaingia makubaliano kisheria kabisa, nina asset kama nyumba na kiwanja. This is serious. Wengi wana hela lakini hawajui wazifanyie nini ila wengine hatuna lakini nafasi kama hizi zinatujia kila uchwao.
When you are man, you have to find money and more money, and more and more money, women, bia, starehe, zipo tu but money, power. Uji-estalish as a man kwanza ndio mengine yafuate.
Mawasiliano zaidi yatafanyika pm.
Asante na karibu for serious minded.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uza nyumba au kiwanja chako kwa hio 4m ili upate hio 250m then Jenga ingine.
GOOORNING BILLIONAIRE.
Vp ile saa kule Q-Net wamekuuzia mil 4 au 5 mkuu?