Kwani kichanga kinazuia niniHivi katika mizunguko yako unakutan na demu Bomba mnaonge mnakubaliana na matumbua vyuku byere!!matanuzi yakufa mtu mnatoka club usiku mnaenda kwake unakuta anakichanga na wewe huku ulisha jitune unaenda kupalamia kinoma!!Je wewe utaacha au utavaa miwani ya mbao bila kujali kichanga??
Kwahiyo wewe unakuwa kama mwenzio makamuzi mbele!!well noted
hahahahahahahahaYeye hakukijali kichanga chake we utakijalije endeleza makamuzi
mliochafuka wengi humu!habari wana jamii
mh inaonekana huyu jamaa yamemtokea ?ila ingekuwa mimi ningekula mzigo kama kawa
Swali zuri Kaka! Kama kweli wewe ni Mwana-Adam uliyezaliwa na Mwanamke, lazima uwe na roho ya UTU... Kaka kweli kweli.. umekakuta katoto kachanga kamelala ndani,... p'se usifanye dhambi hiyo.. mwache huyo Dada, na tena usimwache hivi hivi.. mpe somo.. mseme, mpake sana... mwonye.. ikibidi mpige mangumi...
Wanawake tuwe na utu na watoto wetu wachanga.. nini kubemenda watoto.. wape watoto haki zao za msingi..kama kunyonyesha mpaka miezi sita bila kuchanganya vyakula.
MM mona miezi miwili n mingi? mie nasikia ati arobaini tu zatosha! au mie nimedanganywaSwali zuri Kaka! Kama kweli wewe ni Mwana-Adam uliyezaliwa na Mwanamke, lazima uwe na roho ya UTU... Kaka kweli kweli.. umekakuta katoto kachanga kamelala ndani,... p'se usifanye dhambi hiyo.. mwache huyo Dada, na tena usimwache hivi hivi.. mpe somo.. mseme, mpake sana... mwonye.. ikibidi mpige mangumi...
Wanawake tuwe na utu na watoto wetu wachanga.. nini kubemenda watoto.. wape watoto haki zao za msingi..kama kunyonyesha mpaka miezi sita bila kuchanganya vyakula.
Afu mkilianzisha hapo lazima junior ataibuka tu kutafuta hoteli. Ila nlishawahi msikia dada mmoja akisema ati kila akinyonyesha huko chini kunapwita aka anajisikia ku-do. Sasa kama huyo nae yuko hivyo, basi hapoHivi katika mizunguko yako unakutan na demu Bomba mnaonge mnakubaliana na matumbua vyuku byere!!matanuzi yakufa mtu mnatoka club usiku mnaenda kwake unakuta anakichanga cha miezi 2!!na wewe huku ulisha jitune unaenda kupalamia kinoma!!Je wewe utaacha au utavaa miwani ya mbao bila kujali kichanga??
MM mona miezi miwili n mingi? mie nasikia ati arobaini tu zatosha! au mie nimedanganywa
hapo? Afu kwani ukipiga gemu kuna tatizo gani kama mtoto lishe yake (maziwa) anapata?