bacha
JF-Expert Member
- Aug 19, 2010
- 4,282
- 797
Unavuruga tope!!unaanza while in once doesn't cost anything!!
Siku zote kama Plan A imefeli, nenda kwa Plan B
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unavuruga tope!!unaanza while in once doesn't cost anything!!
Mtoto alikua na nani wakati wa mizunguko yote hiyo bana. hakua mwenyewe kwa hakika.
Mtoto alikua na nani wakati wa mizunguko yote hiyo bana. hakua mwenyewe kwa hakika.
Posted via Mobile............??????????
...Chereko na mwenye ngoma...Kama mwenye kichanga chake hakihurumii ndio iwe mimi?? Zoezi linaendelea tu na nina imani hata yeye atafurahia maana huenda tangu ajifungue hajaonja mzigo so ni kukamua kwa kwenda mbele..:whoo:Swali zuri Kaka! Kama kweli wewe ni Mwana-Adam uliyezaliwa na Mwanamke, lazima uwe na roho ya UTU... Kaka kweli kweli.. umekakuta katoto kachanga kamelala ndani,... p'se usifanye dhambi hiyo.. mwache huyo Dada, na tena usimwache hivi hivi.. mpe somo.. mseme, mpake sana... mwonye.. ikibidi mpige mangumi...
Wanawake tuwe na utu na watoto wetu wachanga.. nini kubemenda watoto.. wape watoto haki zao za msingi..kama kunyonyesha mpaka miezi sita bila kuchanganya vyakula.
no,no noo mama hapa umekosea hii ni tabia mbaya sana,anatakiwa afanye hayo mengine uliyomwambia sio kupiga mangumi.Swali zuri Kaka! Kama kweli wewe ni Mwana-Adam uliyezaliwa na Mwanamke, lazima uwe na roho ya UTU... Kaka kweli kweli.. umekakuta katoto kachanga kamelala ndani,... p'se usifanye dhambi hiyo.. mwache huyo Dada, na tena usimwache hivi hivi.. mpe somo.. mseme, mpake sana... mwonye.. ikibidi mpige mangumi...
Wanawake tuwe na utu na watoto wetu wachanga.. nini kubemenda watoto.. wape watoto haki zao za msingi..kama kunyonyesha mpaka miezi sita bila kuchanganya vyakula.
..Hajua wengine ni wajasilia mali? Hata kama ana kichanga anatafuta fweza ya pampasy za hicho kichanga. Nilishakumbana na mmoja wa aina hiyo Jolly club pale. Demu yuko bomba balaa ingawa yeye hakunipeleka kwake lakini nilipompeleka kwenye pitch ya ugenini ilibidi awe mkweli tu...So wakati mwingine mazingira yanawalazimisha kufanya hivyo!no,no noo mama hapa umekosea hii ni tabia mbaya sana,anatakiwa afanye hayo mengine uliyomwambia sio kupiga mangumi.
Hongera Kaka Kiiza kwakufikisha poster 1000...:A S crown-1:
na hii thread yako ya leo hatari kaka...
Hivi katika mizunguko yako unakutan na demu Bomba mnaonge mnakubaliana na matumbua vyuku byere!!matanuzi yakufa mtu mnatoka club usiku mnaenda kwake unakuta anakichanga cha miezi 2!!na wewe huku ulisha jitune unaenda kupalamia kinoma!!Je wewe utaacha au utavaa miwani ya mbao bila kujali kichanga??
Kwani kuna mda wakukubaliwa pale unapotongoza??hata mdakika unaweza ukapiga goli kinachozingatiwa ni mazingira na dhamila ya myongozwaji hivyo ikiwa ni dakika ukaenda ukakuta jichanga hapo niwewe mtongozaji kukataa au kukubali ndo mahudhuhi yaswali.Kwanza hiyo tabia si nzuri, ni ya kukemea kabisa, kama nii makhaba wote basi endeleeni. lakini kama mna akili timamu; Mtongozaji huweji tongoza siku hiyo hiyo na kwenda kukamua lazima uwe kahaba. Dada/mama na kitoto kichanga halafu unataka kukamliwa basi hazikutoshi au una matatizo makubwa na ushauri uanahitajika<br />
Acheni zinaa bwana!
![]()
na wewe hongera yaani novemba hii hii unafikisha post buku
e bwanaee!Yeye hakukijali kichanga chake we utakijalije endeleza makamuzi
kha khaa kh aaKwani kichanga kinazuia nini
ama kweli dunia sasa.....Habari wana jamii
mh inaonekana huyu jamaa yamemtokea ?ila ingekuwa mimi ningekula mzigo kama kawa
wewe ni mlafi sana, na roho ya uchu kali sanaMM mona miezi miwili n mingi? mie nasikia ati arobaini tu zatosha! au mie nimedanganywa
hapo? Afu kwani ukipiga gemu kuna tatizo gani kama mtoto lishe yake (maziwa) anapata?
he he he he he he he!Miezi 2 MINGI SANA. MI NILIANZA KU DO NA MR WAKATI KICHANGA KINA 3weeks.
sipati mnafanana na nini mioyo yenuunapiga tu hakuna kuremba kaka..........................