Kama ukitongoza mwanamke kumbe ana mtoto!?

Malizia mlicho agana. Mtoto mchanga anazuia nini sasa hapa? Kwani mwanamke ukiwa na mtoto mchanga hauna haki ya kupendwa ? Yeye anatafuta upendo, na mapenzi au nini kingine? Kiufupi ananyege inampagawisha. Ukimwacha anaenda kutafuta mwingine, kilichobaki mtulize tu. Mpige mtarimbo kisawa sawa mpaka aseme basi mwenyewe. Ndio hiko hiko akikitafuta..........
 
Mtoto alikua na nani wakati wa mizunguko yote hiyo bana. hakua mwenyewe kwa hakika.
 
ingekuwaa mimi nishinge fanyaa chochote...sana sanaa ningempa ushauri.
 
...Chereko na mwenye ngoma...Kama mwenye kichanga chake hakihurumii ndio iwe mimi?? Zoezi linaendelea tu na nina imani hata yeye atafurahia maana huenda tangu ajifungue hajaonja mzigo so ni kukamua kwa kwenda mbele..:whoo:
 
no,no noo mama hapa umekosea hii ni tabia mbaya sana,anatakiwa afanye hayo mengine uliyomwambia sio kupiga mangumi.
 
no,no noo mama hapa umekosea hii ni tabia mbaya sana,anatakiwa afanye hayo mengine uliyomwambia sio kupiga mangumi.
..Hajua wengine ni wajasilia mali? Hata kama ana kichanga anatafuta fweza ya pampasy za hicho kichanga. Nilishakumbana na mmoja wa aina hiyo Jolly club pale. Demu yuko bomba balaa ingawa yeye hakunipeleka kwake lakini nilipompeleka kwenye pitch ya ugenini ilibidi awe mkweli tu...So wakati mwingine mazingira yanawalazimisha kufanya hivyo!
 
Kuna mawili..........................lengo la kutongoza lilikuwa nini?,...........................la muda mrefu au la masaa mafupi..............................kama ni masaa mafupi unaliendeleza lakini kama ni la masaa marefu unalisitisha...............................................lakini usimnyanyapae mtoto wa watu kama umempenda unalea mtoto kwani iko nini?
 
Kwanza hiyo tabia si nzuri, ni ya kukemea kabisa, kama nii makhaba wote basi endeleeni. lakini kama mna akili timamu; Mtongozaji huweji tongoza siku hiyo hiyo na kwenda kukamua lazima uwe kahaba. Dada/mama na kitoto kichanga halafu unataka kukamliwa basi hazikutoshi au una matatizo makubwa na ushauri uanahitajika
Acheni zinaa bwana!
 
Kwani kuna mda wakukubaliwa pale unapotongoza??hata mdakika unaweza ukapiga goli kinachozingatiwa ni mazingira na dhamila ya myongozwaji hivyo ikiwa ni dakika ukaenda ukakuta jichanga hapo niwewe mtongozaji kukataa au kukubali ndo mahudhuhi yaswali.
 
Yeye hakukijali kichanga chake we utakijalije endeleza makamuzi
e bwanaee!
Kwani kichanga kinazuia nini
kha khaa kh aa
Habari wana jamii
mh inaonekana huyu jamaa yamemtokea ?ila ingekuwa mimi ningekula mzigo kama kawa
ama kweli dunia sasa.....
MM mona miezi miwili n mingi? mie nasikia ati arobaini tu zatosha! au mie nimedanganywa
hapo? Afu kwani ukipiga gemu kuna tatizo gani kama mtoto lishe yake (maziwa) anapata?
wewe ni mlafi sana, na roho ya uchu kali sana
Miezi 2 MINGI SANA. MI NILIANZA KU DO NA MR WAKATI KICHANGA KINA 3weeks.
he he he he he he he!
unapiga tu hakuna kuremba kaka..........................
sipati mnafanana na nini mioyo yenu
 
Msaidie kulea mtoto kwa siku hiyo halafu ukiondoka usirudi tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…