Kama uko A-town njoo tushiriki dinner leo

nakupa 100% ndugu unngekuwa karibu ningekukuikiss umeongea point sana
Naomba unijuze uko Daleslam sehemu gani, nitaomba nauli kwa mjomba nifike huko!...nikikosa nitalima vitunguu msimu wa mvua nipate hiyo nauli nifike huko!...nikishindwa kabisa nitauza nyumba yetu ya urithi, lakini kukosa busu hilo sitavumilia!
 
Na wewe usisahau kumpatia kumbatio la PakaJimmy kama ulilompa Madam B pale Chumvini.

cc: Smile, watu8, Blaki Womani, Mwanyasi, Arabela, Preta, Lily Flower, werawera, Arushaone, marejesho, Madam B, KOKUTONA, CHUAKACHARA, Dark City
 
Last edited by a moderator:
Big up sana wana Arachuga kwa mshikamano... Naona huyu mtoa mada alikuwa anatikisa kiberiti cha Chuga eeeh!!!!!

Pamoja sana!

Sasa ule mpango wetu wa kunisaidia na mimi niwe Charming kama wewe tuutekeleze basi!
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Hahahahahahahahahaaaaaaaaaaaaa jamani huogopwi kung'atwa weye,
karibu sana tena sana muulize Mtambuzi atakuelekeza bestito
Naomba unijuze uko Daleslam sehemu gani, nitaomba nauli kwa mjomba nifike huko!...nikikosa nitalima vitunguu msimu wa mvua nipate hiyo nauli nifike huko!...nikishindwa kabisa nitauza nyumba yetu ya urithi, lakini kukosa busu hilo sitavumilia!
 
Last edited by a moderator:

samahani sana...............
 
Yan mke wangu unanifananisha na mdada?
Amewaomba wadada sasa mie naendaje love?
Miss you....call me please

kama umemmiss si umcall na wewe, unasubiri kucalliwa tu! Lione!!!!!!
Ooops..... Hayanihusu!
 
Mkuu PakaJimmy mbona kama umeshindwa kusoma alama za nyakati....huyu jamaa ni rasta na anataka mdada wa a-town ambaye ni mwanachama wa kitu cha arusha ili wazewe kupata dinner pamoja? kwani dinner si inaweza kuwa hata jani!! mgeni kashindwa kuweka mambo wazi hivyo msimshambulie saana. Ni itikadi tuu za kirasi tuu hizo:majani7:

BTW kwema lakini?

Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…