Kama uko single na huna hela simu hubaki kuwa kopo tu

sanalii

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2018
Posts
1,639
Reaction score
5,767
Kwa ambao hawajapitia kipindi hiki hongereni kwa waliopitia wanajua, ambao ndo wanapitia msikate tamaa. Ni kujitahidi usikose vyote, ukipata hela utapata mapenzi ukikosa hela tafuta mapenzi vinginevyo unaweza kaa ata siku mbili, text unazopokea ni promotion za mitandao, WhatsApp ni za magroup. Utakua unashift tu kutoka mitandao tofauti tofauti( ikiwa huna kazi/huko busy)
 
Kaukweli kachungu haka.. mimi nishaacha kujiunga salio la wasap maana hakuna hata wa kunisalimia..
Najiunga tu visms kwa emergency kama mtu akinitafuta. Ila ngoma nzito hii..Unajihisi dunia ipo mbali nawe. Wengine hata ukiwatext ndio kwanza kama hawaoni vile
 
Nipo natekeleza hili sasa hivi. No money No Lover No Job!!!! Asikuambie mtu hii situation. Hapa ndo unatambua kumbe hapa Duniani nipo peke yangu!!!!. Nawaza isingekuwepo JF ingekuwaje????
 
Nilishawahi hadi kutoa machozi aise nikaomba hadi Mungu kama kuna mahali nimemkosea anisamehe nikawaza au nilaana ya zile sms za forward kwa watu30 utapokea mujiza maana ilikuwa ikiingia sms ya namna hiyo nasonya afu nafuta[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani hela huna kodi ya chumba imeisha kazi unatafuta hata vibarua saidia fundi unaambiwa wametosha dah! Njaa inauma msosi huna madeni dukani yamejaa dah!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukweli mtupu... Na ndio hapo mie nasemaga utagundua kuwa wanawake ni kugegeda tuu hawanaga upendo.... Maisha yakikaa kushoto na wenyewe wanaota mbawa.
 
Kaukweli kachungu haka.. mimi nishaacha kujiunga salio la wasap maana hakuna hata wa kunisalimia..
Najiunga tu visms kwa emergency kama mtu akinitafuta. Ila ngoma nzito hii..Unajihisi dunia ipo mbali nawe. Wengine hata ukiwatext ndio kwanza kama hawaoni vile
ila katika muda huu kma una ka interest kma kitu cha kujifunza ni wakati mzuri
 
Hela huna hata papuchi ya kukuliwaza unakosa
Aiseeee Mimi siku nikiwa na hela sijui Kama nitakuja kuoa maana wote nitawaona hawana maaana kivile kwangu nitawachukulia poa sana
kwa bahati nzuri au mbaya utajikuta unaoa tu na unapenda, we are born to be used, hata wadada now wanapitia hii hali, tena kwao ndo mbaya zaidi wanakua desperate sana
 
Hahaha
Kaukweli kachungu haka.. mimi nishaacha kujiunga salio la wasap maana hakuna hata wa kunisalimia..
Najiunga tu visms kwa emergency kama mtu akinitafuta. Ila ngoma nzito hii..Unajihisi dunia ipo mbali nawe. Wengine hata ukiwatext ndio kwanza kama hawaoni vile

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii moment ni Hatari sana ....
Nilishawahi hadi kutoa machozi aise nikaomba hadi Mungu kama kuna mahali nimemkosea anisamehe nikawaza au nilaana ya zile sms za forward kwa watu30 utapokea mujiza maana ilikuwa ikiingia sms ya namna hiyo nasonya afu nafuta[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani hela huna kodi ya chumba imeisha kazi unatafuta hata vibarua saidia fundi unaambiwa wametosha dah! Njaa inauma msosi huna madeni dukani yamejaa dah!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
JF > Instagram > Youtube > Candy Crush > WhatsApp Groups (Mapishi na Vichekesho) > Twitter

Rudia tena the circle over and over.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwa bahati nzuri au mbaya utajikuta unaoa tu na unapenda, we are born to be used, hata wadada now wanapitia hii hali, tena kwao ndo mbaya zaidi wanakua desperate sana
Elezea mkuu, mabinti na wao inbox zao huwa zinakauka?
 
ya zinakauka ! Ingawa pia kukauka kwao nitofauti na meni. Anaweza kua anapokea text ambazo ni za watu asio na emotion connection nao hata chembe so zinakua useless. Kuna wengine wanakua desperate to the extent anaweza fanya mambo ya ajabu kama kudate na watu ambao hujatarajia
 
Nipo natekeleza hili sasa hivi. No money No Lover No Job!!!! Asikuambie mtu hii situation. Hapa ndo unatambua kumbe hapa Duniani nipo peke yangu!!!!. Nawaza isingekuwepo JF ingekuwaje????

Mkuu hivi vitu vinafata yani kama huna kazi basi lazima usiwe na pesa na kama pesa pia huna basi hakuna mapenzi. Ni situation mbaya sana kama unapitia. Ni Chanzo cha depression na anxiety
 
ya zinakauka ! Ingawa pia kukauka kwao nitofauti na meni. Anaweza kua anapokea text ambazo ni za watu asio na emotion connection nao hata chembe so zinakua useless. Kuna wengine wanakua desperate to the extent anaweza fanya mambo ya ajabu kama kudate na watu ambao hujatarajia
Manzi akiwa na hela then yupo singo ni raha mno .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie watoto mnachekesha nimesoma vicomments vyenu😂bas mmeongea ya moyoni.huo ni upepo mchafu ukipita yanaisha.
 
Back
Top Bottom