sanalii
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,639
- 5,767
Kwa ambao hawajapitia kipindi hiki hongereni kwa waliopitia wanajua, ambao ndo wanapitia msikate tamaa. Ni kujitahidi usikose vyote, ukipata hela utapata mapenzi ukikosa hela tafuta mapenzi vinginevyo unaweza kaa ata siku mbili, text unazopokea ni promotion za mitandao, WhatsApp ni za magroup. Utakua unashift tu kutoka mitandao tofauti tofauti( ikiwa huna kazi/huko busy)