David Ben Gurion
JF-Expert Member
- Nov 1, 2018
- 868
- 1,384
Mama mkubwa tunachekesha kweli... But ni uhalisia Lakini huo upepo mchafu unaisha lini??? Hivi unajua unapokuwa kwenye mawimbi makali unaona kama hayataisha???? Japo ukweli yataisha lakini haijulikani Muda.... Ndio maana wengine hushindwa na kukata tamaaNyie watoto mnachekesha nimesoma vicomments vyenu😂bas mmeongea ya moyoni.huo ni upepo mchafu ukipita yanaisha.
Ukiona watu hawakutafuti maana yake huna cha ku offer kwa lugha nyepesi wewe ni useless, fanya juhudi kijiongezea thamani utaona simu yako itavyokua buzzy mpaka calls na sms nyingine utakua hujibu.Kwa ambao hawajapitia kipindi hiki hongereni kwa waliopitia wanajua, ambao ndo wanapitia msikate tamaa. Ni kujitahidi usikose vyote, ukipata hela utapata mapenzi ukikosa hela tafuta mapenzi vinginevyo unaweza kaa ata siku mbili, text unazopokea ni promotion za mitandao, WhatsApp ni za magroup. Utakua unashift tu kutoka mitandao tofauti tofauti( ikiwa huna kazi/huko busy)
100%Ukiona watu hawakutafuti maana yake huna cha ku offer kwa lugha nyepesi wewe ni useless, fanya juhudi kijiongezea thamani utaona simu yako itavyokua buzzy mpaka calls na sms nyingine utakua hujibu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kuna kipindi cha downfall Hapa anamaanisha uliokuwa nao kama ndugu mpenzi ama mke/rafiki nk....Ukiona watu hawakutafuti maana yake huna cha ku offer kwa lugha nyepesi wewe ni useless, fanya juhudi kijiongezea thamani utaona simu yako itavyokua buzzy mpaka calls na sms nyingine utakua hujibu.
Sent using Jamii Forums mobile app
sio lazima uandike kingereza mkuuTime your wasted just I,stupid so are you
Read the above sentence backwards/reverse order