*Kama Ukushiba Ungesema tu Baba *

*Kama Ukushiba Ungesema tu Baba *

mbwana semsimbazi

Senior Member
Joined
Sep 5, 2013
Posts
196
Reaction score
202
Umeenda kutembea ukweni kwako baada ya chakula chausiku unapewa chumba chakulala inapofika usiku unatakakutoka kwenda kujisaidi kwasababu taa zimezimwa unapamia vyombo vya chakula sebleni kipindi unajalibu kupapasa uviweke sawa mala taa inawashwa na mama mkwe anaona umeshika vyombo anakwambia, baba kama ukushiba ungesema [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Noma sana, ni sawa na umeingia choo cha ugenini, ile unafungua mlango tu unakutana na gogo, aliyetoka kabla yako hakuflash.

Ile unatoka tu unakutana na baba mkwe, anataka kuingia, fikiria atawazaje.
 
Umeenda kutembea ukweni kwako baada ya chakula chausiku unapewa chumba chakulala inapofika usiku unatakakutoka kwenda kujisaidi kwasababu taa zimezimwa unapamia vyombo vya chakula sebleni kipindi unajalibu kupapasa uviweke sawa mala taa inawashwa na mama mkwe anaona umeshika vyombo anakwambia, baba kama ukushiba ungesema [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hiyo ya kukutana na gogo ni ngumu kuiepuka lakini ya kujigonga kwenye vyombo ni ujinga, kwanini usiulize jiografia ya humo ndani kabla ya kulala!
 
Umeenda kutembea ukweni kwako baada ya chakula chausiku unapewa chumba chakulala inapofika usiku unatakakutoka kwenda kujisaidi kwasababu taa zimezimwa unapamia vyombo vya chakula sebleni kipindi unajalibu kupapasa uviweke sawa mala taa inawashwa na mama mkwe anaona umeshika vyombo anakwambia, baba kama ukushiba ungesema [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uboya huo kwanin utoke toke night kukausha ujisaidie asubuhi je
Na kwanini ule ad uvimbiwe ugenini!!
 
Back
Top Bottom