Kama ulifanya huu mchezo na bd upo kwenu Toka haraka.

Kama ulifanya huu mchezo na bd upo kwenu Toka haraka.

Magical power

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2022
Posts
2,158
Reaction score
5,626
Kama ulifanya huu mchezo na bd upo kwenu Toka haraka
1730893063794.jpg
 
Umenichekesha huo sio mchezo,Ni Hali ya kipato,hata leo wapo wengi tuu,wanaovaa hivyo.
Mtoa mada fanya ziara ya ndani ya tz uone Hali za watanzania
 
Huyo jamaa juu ajitambui na ni mtu mzima..
Umri wake sawa na mkojani lakini kichwani tope tupu
Yeah tope linafaida mana unapandia mpunga unavuna unakula unashiba na kupiga pesa,vip wewe ambae n sawa na kamas likitoka limetoka🤷🏽‍♂️🤷🏽‍♂️
 
Yeah tope linafaida mana unapandia mpunga unavuna unakula unashiba na kupiga pesa,vip wewe ambae n sawa na kamas likitoka limetoka🤷🏽‍♂️🤷🏽‍♂️
Kamasi linatengeneza mtoto anakuja kukusaidia uzeeni.
 
Back
Top Bottom