Kama ulifikiri Darassa kaisha fikiria tena, ngoma katoa leo lakini imepigwa mpaka MTV Europe

Kama ulifikiri Darassa kaisha fikiria tena, ngoma katoa leo lakini imepigwa mpaka MTV Europe

Nilişikitika sana niliposoma humu ya kuwa huyu dogo amegeuka nyoka anabwia unga,...kama amerudi kwenye game ni jambo zuri...
 
Nilişikitika sana niliposoma humu ya kuwa huyu dogo amegeuka nyoka anabwia unga,...kama amerudi kwenye game ni jambo zuri...

Darassa mtu mkimya sana afu sio wale wasanii wa kukaa kwenye media na kila kinachowatokea lazma kitangazwe, Personal life ya darassa anaijua yy tu, So haipaswi kuamini udaku unaosambaa juu yake kama hii inshu ya kubwia unga labda mpaka yy mwenyewe aseme.
 
Darassa mtu mkimya sana afu sio wale wasanii wa kukaa kwenye media na kila kinachowatokea lazma kitangazwe, Personal life ya darassa anaijua yy tu, So haipaswi kuamini udaku unaosambaa juu yake kama hii inshu ya kubwia unga labda mpaka yy mwenyewe aseme.


Kama Bashite alisema yale makontena ni yake basi nayeye atasema
 
Mkuu nadhan hata hauelewi ulichoandika.

Darassa ni more than mwanamziki. Hawa wasanii wengine wanabebwa tu na makiki na mitandao ya kijamii. Ila darassa mziki wake unabebwa na kipaji chake tu na sio kiki za kijinga kama ilivyo kwa wasanii wengi bongo.

Ndo maana kuna jamaa aliulizwa ""ETI MITANDAO YA KIJAMII IKIFUNGWA, ITATOKEA NN KWENYE BONGOFLAVOR" akajibiwa ""..MITANDAO IKIFUNGWA WASANII WATAPOTEA ILA WANAMUZIKI WATABAKI""

SASA USILINGANISHE WASANII NA MWANAMZIKI. Darassa ni mwanamziki na sio kama wasanii hawa wa kawaida ambao wanafanya usaniii hadi kwenye maisha yao.

Darassa is the best
Usilazimishe nione kama wewe. Kama umeona kwako ni mwanamuziki endelea kuona hivyo.

Maamuzi yangu huwa hayabadilishwi na mawazo ya mtu yoyote yule hapa duniani.
 
Write your reply...darassa uwezo anao sema Dona inamponza. kipindi Fulani alikuwaga hapa dom kitaa cha salatoga karibu na bot nilikuwaga namuuzia sembe jamaa!
Du mkuu unaona raha kuwaumiza vijana wenzio?
 
Wabongo wanafki sana..sasa ubaya wa huu wimbo uko wapi??
Mkuu wabongo hatujawahi kusapotiana zaidi ya kudidimizana, wengi wanapenda kuona/sikia matatizo ya wengine na kuchukia mafanikio ya wengine
 
Write your reply...wewe Funzadume umekua sasa acha utoto! weka screenshot hapa hiyo comment yangu unayosema eti nilikuwa nakula bata na marehemu Godzilla huko salasala!.dar na dom wapi na wapi??
naona utakuwa umekosea bro labda sio Mimi. au stress zako unakuja kuzimalizia kwangu!. sio ajabu kesho utasema Mimi nilisema nimemla mama mondi!. sasa weka screenshot hapa hiyo comment yangu unayosema. funza wa kijani wewe!
 
nyimbo anazotoa saiv ni mbovu....saut imeama reli,,,style inaruka ruka.....hivi anatuonaje?
 
Write your reply...darassa uwezo anao sema Dona inamponza. kipindi Fulani alikuwaga hapa dom kitaa cha salatoga karibu na bot nilikuwaga namuuzia sembe jamaa!

Muuzaji wa kwanza wa sembe kujitaja [emoji56][emoji56]
 
Oya sasa sie mashabiki zake ndo tunapenda hio style.
Ngoja nkuulize kitu. Mbona flow za jayz hua ni zile zile karibia kila ngoma alizokua anazitoa. Lkn watu walikua wanashabikia kwa sababu ile flow yake ndo watu wanaipenda na ndo inawafanya watu wamsikilize na ndo ilompa yy na the throne(group lao) mashabiki wengi zaidi

Acheni kukariri. Mbona hata wasafi melodies zao zote ni zilezile, na wengi wanaimba kama bosi wao lakini ukiangalia the most viewed artists kwa tanzania in youtube ni wasanii wa wasafi. Kama hauna sababu ya maana bora anza tu kumshabikia darassa ila usiseme eti ana staili ileile ya uimbaji.

Naweza kukupa mifano mingi ya wasanii wakubwa ambao wana staili ileile ya kuimba lkn bado nyimbo zao zinapendwa, na hio ni kwa sababu staili na melodies zao ndo zinawapa watu raha na hamu ya kuwasikiliza
Chk ngoma hizi tatu za Ariana grande "BREATHING" , "THANK U NEXT" zimefatana sana lkn melodies ni zile na pia zimesumbua kinoma kwenye mitandao na media
Jigga hana flow moja ,jamaa ana utajiri wa flow tusidanganyane Jigga mtu mwengine kabisa upande wa flow.Darrasa style yake ile ile misemo kibao kama Mpoto abadilike.Alafu unafanya comparisoni ya wasanii wakuimba na Hip Hop ,havihusiani kabisa tukubali jamaa hii katoa boko.
 
We kajamaa mzushi sana majuzi ulisema mlifanya party salasala ukampa ganja marehemu akakataa. Leo unasema ulikuwa unamuuzia sembe Darassa

Sent using Jamii Forums mobile app
wewe utakuwa unadaiwa kodi sio bure au stress zako unahamishia kwangu. 😂😂 lini nilisema?? weka screenshot hapa. Maneno yasiwe mengi
 
Ogaaah! Jamaa anafeli sana anajicopy yy mwenyewe melodies za huo mdundo ndo zile zile za kwenye wimbo wa utanitoa Roho kingine ana style moja mwanamuziki hutakiwi kuwa hvyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom