Kwani mechi moja tu ukifungwa huendi arabuni!?Wewe sio mwanamichezo
Siamini kama kuna mechi bora kana hii kwa miaka ya karibuni kwa level ya national team
Ingine ilikuwa sweeden vs kech republic
Hatutamwona azur uko mashariki ya kati mwaka huu
Haina marudiano hapo Italy ndo kwaheri ya kuonana.Mechi haikua ya kushangaza ila matokeo ya kufungwa Italy na Macedonia ndio ya kushangaza Sasa tusubiri mechi ya marudiano, Kama Macedonia ata fanikiwa kumtoa Italy ulimwengu wa soka utapigwa na butwaa. Ata ivyo ushindi wa goli Moja bila si wa kubezwa Wala si wakujigamba.
Kweli nimeona Macedonia watakutana na Portuguese atakayeshinda anakwenda Qatar. Italy watakua wamekosa world cup mara ya pili mfululizo.Haina marudiano hapo Italy ndo kwaheri ya kuonana.
Hakuna marudiano tenaMechi haikua ya kushangaza ila matokeo ya kufungwa Italy na Macedonia ndio ya kushangaza Sasa tusubiri mechi ya marudiano, Kama Macedonia ata fanikiwa kumtoa Italy ulimwengu wa soka utapigwa na butwaa. Ata ivyo ushindi wa goli Moja bila si wa kubezwa Wala si wakujigamba.
Mechi haikua ya kushangaza ila matokeo ya kufungwa Italy na Macedonia ndio ya kushangaza Sasa tusubiri mechi ya marudiano, Kama Macedonia ata fanikiwa kumtoa Italy ulimwengu wa soka utapigwa na butwaa. Ata ivyo ushindi wa goli Moja bila si wa kubezwa Wala si wakujigamba.
Kwani mechi moja tu ukifungwa huendi arabuni!?
Duh mbona kama Italy washatolewa maana watakutana na Portugal.
Mechi haikua ya kushangaza ila matokeo ya kufungwa Italy na Macedonia ndio ya kushangaza Sasa tusubiri mechi ya marudiano, Kama Macedonia atafanikiwa kumtoa Italy ulimwengu wa soka utapigwa na butwaa. Hata hivyo ushindi wa goli Moja bila si wa kubezwa Wala si wakujigamba.
Italy kishatoka hivyo! wasubiri tena 2026Mechi haikua ya kushangaza ila matokeo ya kufungwa Italy na Macedonia ndio ya kushangaza Sasa tusubiri mechi ya marudiano, Kama Macedonia atafanikiwa kumtoa Italy ulimwengu wa soka utapigwa na butwaa. Hata hivyo ushindi wa goli Moja bila si wa kubezwa Wala si wakujigamba.
Walipigwa Germany goli mbili bilaHawa Macedonia c ndo waliwapiga hata German kama sijakosea