Kama ulikosa mechi ya Italy vs North Macedonia, wewe si mwanamichezo

utah jazz

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,816
Reaction score
3,993
Wewe sio mwanamichezo

Siamini kama kuna mechi bora kana hii kwa miaka ya karibuni kwa level ya national team

Ingine ilikuwa sweeden vs Cech republic

Hatutamuona azuri huko mashariki ya kati mwaka huu
 
Wewe sio mwanamichezo

Siamini kama kuna mechi bora kana hii kwa miaka ya karibuni kwa level ya national team

Ingine ilikuwa sweeden vs kech republic

Hatutamwona azur uko mashariki ya kati mwaka huu
Kwani mechi moja tu ukifungwa huendi arabuni!?
 
Mechi haikua ya kushangaza ila matokeo ya kufungwa Italy na Macedonia ndio ya kushangaza Sasa tusubiri mechi ya marudiano, Kama Macedonia atafanikiwa kumtoa Italy ulimwengu wa soka utapigwa na butwaa. Hata hivyo ushindi wa goli Moja bila si wa kubezwa Wala si wakujigamba.
 
Mechi haikua ya kushangaza ila matokeo ya kufungwa Italy na Macedonia ndio ya kushangaza Sasa tusubiri mechi ya marudiano, Kama Macedonia ata fanikiwa kumtoa Italy ulimwengu wa soka utapigwa na butwaa. Ata ivyo ushindi wa goli Moja bila si wa kubezwa Wala si wakujigamba.
Haina marudiano hapo Italy ndo kwaheri ya kuonana.
 
Mechi haikua ya kushangaza ila matokeo ya kufungwa Italy na Macedonia ndio ya kushangaza Sasa tusubiri mechi ya marudiano, Kama Macedonia ata fanikiwa kumtoa Italy ulimwengu wa soka utapigwa na butwaa. Ata ivyo ushindi wa goli Moja bila si wa kubezwa Wala si wakujigamba.
Hakuna marudiano tena
 
Hakuna marudio
Mechi haikua ya kushangaza ila matokeo ya kufungwa Italy na Macedonia ndio ya kushangaza Sasa tusubiri mechi ya marudiano, Kama Macedonia ata fanikiwa kumtoa Italy ulimwengu wa soka utapigwa na butwaa. Ata ivyo ushindi wa goli Moja bila si wa kubezwa Wala si wakujigamba.
 
Mechi haikua ya kushangaza ila matokeo ya kufungwa Italy na Macedonia ndio ya kushangaza Sasa tusubiri mechi ya marudiano, Kama Macedonia atafanikiwa kumtoa Italy ulimwengu wa soka utapigwa na butwaa. Hata hivyo ushindi wa goli Moja bila si wa kubezwa Wala si wakujigamba.

Mechi haikua ya kushangaza ila matokeo ya kufungwa Italy na Macedonia ndio ya kushangaza Sasa tusubiri mechi ya marudiano, Kama Macedonia atafanikiwa kumtoa Italy ulimwengu wa soka utapigwa na butwaa. Hata hivyo ushindi wa goli Moja bila si wa kubezwa Wala si wakujigamba.
Italy kishatoka hivyo! wasubiri tena 2026
 
Duuuh,hii timu watu walitarajia makubwa sana baada ya kombe la euro,nafikiri ndo basi tena sidhani Kama Kuna marudio,hapo namuona Ureno na Macedonia...
 
Back
Top Bottom