Kama ulikua hujui haya kuhusu Ngoma mpya ya Alikiba SEDUCE ME pitia hapa

Kajolijo

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2016
Posts
3,364
Reaction score
4,612
*Kama ulikuwa hujui Seduce me ile ngoma ya Ali Kiba inatibu matatizo yafuatayo:*

Inaongeza hamu ya kula.
Inaleta mvuto wa biashara.
Inaongeza nguvu za kiume.
Inapunguza kasi ya maambukizi ya ukimwi.
Inaongeza Makalio kwa wadada.
Pia inaleta umoja na kama huamini waulize WCB jinsi walivyokuwa na umoja kwasasa.
Wahi mapema
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
wimbo wa Diamond umekamilika una ujumbe na mavazi na scene yake iko poa kabissa
ni utundu wa kubuni na akili
Huu wa Kiba ni wimbo wa kawaida sana na ku copy kwa kudhani unaleta kitu kipya , video mbovu ni music ambazo hutumiwa sana na Gays Music Club.... Seduction ni music za gays ambao ni common kule Marekani na Ulaya
Pia huimbwa kwenye sherehe za Freemason

nyimbo kama hizo mara nyingi huimbwa na wanawake ..Wimbo wa mahadhi haya umewahi kuimbwa na Celine Dion na Gerd

kuiga sana ndio hivo unakoroga mavi.
na washabiki wake wanafanya ku like tu kichwa kichwa
 
Mimi Nilijua una akili kidogo kumbe pumba kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Snoop Dogg pia ni mwanamke.
 
Eassy yote hii umeandika ili kupamba mavi maua?
 
usiseme wcb sema yamoto band afukumbukeni 6 na 1 kubwa 1 usipoelewa PM
 
Jamani, nothing is new under the sun, ukisema kuiga hata matonya aliimba zilipendwa, if u want to judge, don't base on one side. Mentality jinatuponza sana. After all acha watafute pesa, nasisi tutafute pia. Najua they don't know us, so let's fight for our breads.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hivi wanaofanya Nazi mental hospital cwapo humu watusaidie jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…