Kama ulikuwa hufahamu basi fahamu leo sasa

Kama ulikuwa hufahamu basi fahamu leo sasa

GuDume

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2015
Posts
6,651
Reaction score
14,337
Chakula unachokula ni kitu muhimu sana. kinaweza athiri siku yako nzima kwa upande hasi au chanya.

ukipata breakfast nzuri nzito yenye mchanganyiko wa virutubisho. unachobakiwa kufanya muda wote ni kunywa maji tu. unapata kiu flani hivi ambayo haiudhi. na inafanya hata maji yaonekane matamu.

ukija kula lunch mida ya saa saba hadi nane hivi. lunch nzuri ya maana ukanywa na juice au matunda baada ya mlo. siku yako inakuwa nzuri sana. hala hala.. usivimbiwe maana hapo utaanza kujiwa na usingizi mzito. kula kiasi tu maana una uhakika wa kula tena tu vitu vitu mida ya saa 10 alasiri. na hapo utakachojisikia kufanya badaye ni kunywa maji tu yasiyo ya baridi sana.

alasiri tupia vitu flani tumboni. kama ni maziwa moto au baridi, karanga,bites tofau tofaut (unaweza kula sausage, ndizi za kukaanga au kuchemsha,viazi,mihogo, korosho n,k) ukawa unanywe juice au maziwa. siku yako inaenda vizuri sana mpaka muda huo. uchovu unatoka unakuwa fresh mwenye nguvu. hala hala.. usijaribu kabisa kufikiria sex. maana kama ni mwanaume mashine itasimama wima kwa uda mrefu sana na kujikuta unashawishika kutafuta ....
kama ni mwanamke pia usijaribu maana utajikuta the Pussy is twitching and producing lubricant tayari kumkaribisha mgeni... usiruhusu hali hiyo maana utajikuta unalowanisha nguo yako ya ndani na kuhitaji .....subiri ukirudi home mpelekee mumeo akahangaike nayo.

usiku unaweza kula chapati laini na roast au mchemsho. unaweza kunywa soup ya vegetables au ukala matunda kama vile tikitik maji, parachichi na ndizi. ukala mboga ya majani ambayo haijaiva sana.hapo sasa unapata usingizi usio na ndoto kabisa. yaani giza tu maana akili inakuwa imepumzika hivyo haitengenezi filamu za mapicha ya ajabu ajabu.

Athari zake Ukilala
unalala usingizi mzuri, unakuwa na hamu sana ya kufanya mapenzi. kama ni mwanaume ni kitu cha kawaida kulala huku mnara umesimama wakati wote. kama ni mwanamke unaweza lala K yako inatoa ute ute laini wenye harufu nzuri ya kuvutia ambao lazima utamfanya mumeo aje kutaka game.

Kesho ukiamka na siku zijazo
ukiamka kesho yake utaamka huna uchovu, una nguvu za kutosha. umechangamka. utaenda chooni ku pooh bila shida ,choo kitatoka laini na hakina harufu kabisa. utaondoa mabai yoote yasiyofaa tumboni na kujifeel kabisa umetua mzigo mkubwa mwilini. utajisikia mwepesi,mwenye amani na utapata njaa tayari kwa kuanza siku nyingine mpya.siku inakuwa yenye bashasha,chereko chereko,hoi hoi , vifijo na nderemo. watu wakikuona tu usoni wanaona nuru, umependeza,ngozi laini, akili yako inakuwa sharp, unakuwa na nguvu na mwenye kasi. unafeel safe,mwenye upendo,mchangamfu na unachapa kazi.

sasa kwa tabia zako za kiswahili usiku ule ugali, makande, mihogo na maharage, kunde, choroko au njugu mawe. halafu ule na mahindi ya kuchemsha,kuchomwa au karanga za kuchemshwa na mazaga zaga mengine magumu. ili uonekane we kidume.

Athari zake Ukilala
kuota unafukuzwa, kuota unachomwa moto, kuota vibaka wanakukimbiza, kuota umefumaniwa , kuota kichaa anataka kukupiga, unatwangwa kwenye kinu, unalima, unakanda udongo wa matofali, unafyatua matofali, unafukuzwa na jitu la kutisha n.k. umechukuliwa na mazimwi au umetekwa na zombies .ile series ya walking dead ndo inakuwa ndoto zako kila siku.
utaanza kupeleka pesa kwa waganga au kusumbua tu watumishi wa Mungu wakuombee kwa sababu ya ujinga wako katika kula.

sababu unaupa ubongo kazi ya kujihusisha na kinachoendelea mwilini yaani wakati mwili unahangaika kupata nguvu ya ku process kile chakula tumboni ubongo nao unaanza kujikeep busy na kwa sababu una hasira ,uchovu na manung'uniko ndo unaanza kuota hizo ndoto. na hii inasababisha hata kwa sisi tuliooa au kuolewa usiweze kufanya tendo la ndo vizuri maana ukiwa umevimbiwa mwanaume unapata athari kwenye nguvu za kiume. na akili yako pia inakuwa haipo ok hivyo kisaikolojia unakuwa huwezi peleka information sehemu husika kuwa unataka kucheza game. kwa wadada ni hivyo hivyo inasababisha wanakuwa wakavu sehemu zao za siri. maana hamna mawasiliano mazuri kati ya ubongo na mwili. hivyo anapoombwa game anatoa tu ili mwombaji amalize naye arudi kulala. maana mwanadada anakuwa naye hana hamu.

Kesho ukiamka na siku zijazo
unaweza usiende choo hata siku mbili tatu au week kabisa. na siku ukienda unatoa choo kigumu na chenye harufu ya kutisha,ya kuogopesha na yenye madhara makubwa kwenye mazingira. tumbo lako linaguruma na choo kinakuwa hakitak kutoka.kinapotoka sehemu yako ya haja inachubuka na ukiendelea hivi unaweza waza kuanza kuwa unaingiliwa kinyume na maumbile. ndo chanzo cha kusababisha hiyo michezo.
pia siku yako inakuwa mbaya.unakuwa na kisirani,chuki,ugomvi,unajawa na matusi,wivu,kisebu sebu cha roho,kutokutulia,kuwa msahaulifu,kuongea pumba maana akili yako haifanyi kazi vizuri,kuona unaonewa na kuwa mwenye hofu,mashaka na wasiwasi wakati wote.unajawa na usingizi sababu usiku hukulala vizuri na ukilala kidogo unaweza ota ukapiga kelele.kazi haziendi sababu ya uvivu pia.
 
Me asubuhi nakulaga ugali
Mchana plate ya matunda mixer
Usiku Kama kawaida ubwabwa
 
Either una njaa sana ramani hazisomi OR umevembewa chakula kwa jirani yako
 
Chakula unachokula ni kitu muhimu sana. kinaweza athiri siku yako nzima kwa upande hasi au chanya.

ukipata breakfast nzuri nzito yenye mchanganyiko wa virutubisho. unachobakiwa kufanya muda wote ni kunywa maji tu. unapata kiu flani hivi ambayo haiudhi. na inafanya hata maji yaonekane matamu.

ukija kula lunch mida ya saa saba hadi nane hivi. lunch nzuri ya maana ukanywa na juice au matunda baada ya mlo. siku yako inakuwa nzuri sana. hala hala.. usivimbiwe maana hapo utaanza kujiwa na usingizi mzito. kula kiasi tu maana una uhakika wa kula tena tu vitu vitu mida ya saa 10 alasiri. na hapo utakachojisikia kufanya badaye ni kunywa maji tu yasiyo ya baridi sana.

alasiri tupia vitu flani tumboni. kama ni maziwa moto au baridi, karanga,bites tofau tofaut (unaweza kula sausage, ndizi za kukaanga au kuchemsha,viazi,mihogo, korosho n,k) ukawa unanywe juice au maziwa. siku yako inaenda vizuri sana mpaka muda huo. uchovu unatoka unakuwa fresh mwenye nguvu. hala hala.. usijaribu kabisa kufikiria sex. maana kama ni mwanaume mashine itasimama wima kwa uda mrefu sana na kujikuta unashawishika kutafuta ....
kama ni mwanamke pia usijaribu maana utajikuta the Pussy is twitching and producing lubricant tayari kumkaribisha mgeni... usiruhusu hali hiyo maana utajikuta unalowanisha nguo yako ya ndani na kuhitaji .....

usiku unaweza kula chapati laini na roast au mchemsho. unaweza kunywa soup ya vegetables au ukala matunda kama vile tikitik maji, parachichi na ndizi. ukala mboga ya majani ambayo haijaiva sana.hapolala usingizi usio na ndoto kabisa. yaani giza tu maana akili inakuwa imepumzika hivyo haitengenezi filamu ya mapicha ya ajabu ajabu

hapo unalala usingizi mzuri hauna ndoto za kutisha, kuota unafukuzwa, kuota unachomwa moto, kuota vibaka wanakukimbiza, kuota umefumaniwa , kuota kichaa anataka kukupiga n.k
Mkuu watu wamemisi ronja za msiba gegedo hku [emoji16], siku hizi unakuja kivingine utasahaulika kama wapigeni mkuu.
 
Sehemu ya kwanza nimesoma udenda uka anza nitoka, nilivyo kuja upande wa ugali mara makande usiku duu mzuka ukaisha sababu ndio milo yetu.
 
badilisha mlo ndugu yangu halafu si gharama sema tu hatujui kupangilia milo vizuri

Sehemu ya kwanza nimesoma udenda uka anza nitoka, nilivyo kuja upande wa ugali mara makande usiku duu mzuka ukaisha sababu ndio milo yetu.
 
Blaza fungua hotel itajaza hiyo na kutuondolea utapiamlo kitaa huku. Watu wanakula kama wanakula Mavi ajambe sasa mtahama kijiwe.
 
Ha ha ha..... Watu wengi hawajui kula. Wao wanajaza matumbo.

Blaza fungua hotel itajaza hiyo na kutuondolea utapiamlo kitaa huku. Watu wanakula kama wanakula Mavi ajambe sasa mtahama kijiwe.
 
Hahaha, eti kupooh...hili neno kila nikilisikia siachi kucheka. Point taken, we are what we eat.
 
Back
Top Bottom