Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,794
- 5,352
1.Usaliti nchini China inaruhusiwa kwa mwanamke aliyesalitiwa na mume wake kumuua mume wake,lakini sharti amuue kwa mkono wake
2.Kwa sheria za Nervada ni kosa kubwa sana kisheria kama utakutwa una urembo wowote katika uume wako(mwanaume)
3.In Bahrain,daktari wa kiume anaruhusiwa kumtibu mwanamke sehemu zake za siri (mf kumzalisha) lakini hatakiwi kuangalia moja kwa moja bali ni kwa kupitia kioo (reflection)
4 Mwanaume hawezi kufanya mapenzi na mkewe kama mdomoni anatoa harufu, kwa sheria za Alexandria, minnesota kama mwanaume atakuwa ana harufu basi mwanamke anauwezo wa kumuamrisha akapige mswaki
Sheria zingine tembelea hapa kama ulikuwa hujui hizi ndio sheria kumi za kufanya mapenzi duniani ~ n.O.W