Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
WORLD’S MOST PEACEFUL NATIONS: FULL RANKING
Source: Global Peace Index 2024.
Pia soma:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpaka Palestina ipo ati 🤣Africa kusini na Sudan uongo
Hizo zinazo baki ni nyongezaHii ndio top 100 halafu list ina 163?
Sudan wanatwangana Hadi Leo hivyo taarifa ya uongoWachambuzi karibuni
Umeshawi kufika Rwanda hivi karibuniRwanda na Uganda naona wamebugi mbona wako peace sana kuliko nchi nyingi tu hapo juu
Au wanafuata za zamani bila kwenda kuona kabisa live?
Umepewa na bonasi 😁Hii ndio top 100 halafu list ina 163?
Sijafika ila nategemea kupita hivi karibuni, kuna ndege zao za kutoka London mpaka KigaliUmeshawi kufika Rwanda hivi karibuni
Tuna utulivu sio amani mazeeSio mbaya hatimaye tumeizidi Marekani na China kwa amani