Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,587
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]1. Mgagaa na upwa hali wali mkavu
2. Asiye na mwana,aeleke jiwe
3. Zimwi likujualo halikuli likakwisha
4. Kikulacho kunguoni mwake
5. Mtoto akililia wembe,mpe
6. Asiyefunzwa na babaye,hufunzwa na ulimwengu
Naomba na ww uongezee kidogo huku ulitambua hawa hapa chini ndo wahenga wenyewe.
View attachment 509229
1. Mgagaa na upwa hali wali mkavu