Kama ulikuwa tu unawasikia Wahenga na hukuwahi kuwaona,hawa hapa

Kama ulikuwa tu unawasikia Wahenga na hukuwahi kuwaona,hawa hapa

Hivi punde

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2017
Posts
2,554
Reaction score
8,587
1. Mgagaa na upwa hali wali mkavu

2. Asiye na mwana,aeleke jiwe

3. Zimwi likujualo halikuli likakwisha

4. Kikulacho kunguoni mwake

5. Mtoto akililia wembe,mpe

6. Asiyefunzwa na babaye,hufunzwa na ulimwengu

Naomba na ww uongezee kidogo huku ulitambua hawa hapa chini ndo wahenga wenyewe.

IMG-20170514-WA0122.jpg
 
Ukistaajabu ya Sizonje hujaona ya Gambo
. (rambirambi)
 
1. Mgagaa na upwa hali wali mkavu

2. Asiye na mwana,aeleke jiwe

3. Zimwi likujualo halikuli likakwisha

4. Kikulacho kunguoni mwake

5. Mtoto akililia wembe,mpe

6. Asiyefunzwa na babaye,hufunzwa na ulimwengu

Naomba na ww uongezee kidogo huku ulitambua hawa hapa chini ndo wahenga wenyewe.

View attachment 509229
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
WAHENGA WA SIKU HIZI

1: Mwanafunzi wa kike mpenda chips, sharti awe na kinga ya mimba.

2: Msichana mtaka pesa za mwanaume, sharti avue chupi.

3: Mtaka demu mkali, sharti pochi yake isikose kuvimba.
 
1. Mgagaa na upwa hali wali mkavu

2. Asiye na mwana,aeleke jiwe

3. Zimwi likujualo halikuli likakwisha

4. Kikulacho kunguoni mwake

5. Mtoto akililia wembe,mpe

6. Asiyefunzwa na babaye,hufunzwa na ulimwengu

Naomba na ww uongezee kidogo huku ulitambua hawa hapa chini ndo wahenga wenyewe.

View attachment 509229

Mbona wanatisha hivi?nilifikiri vyuma chakavu
 
Simba mwenda pole, Ni mgonjwa na anamuogopa yanga

Mpanda Ngazi Ni Tanesco

samaki mkunje, mpaka Anye

Samaki mmoja akioza, unamchomoa unamtupa

Aliye juu mfuate hukohuko
 
Mtaka cha uvunguni, hataki cha darini

Mbio za sakafuni, huishia kwenye tiles

Haba na haba, haba square

Usipoziba ufa, utapigwa chabo
 
Back
Top Bottom