Kama ulikuwa unamchukulia poa Diamond, jipange sana

Nawambiajee ? Sio Sultani CCM hawezi kushinda Zanzibar tu hata Tanganyika CCM haina ubavu wa kushinda itakufa kifo cha mjusi macho nje.

Tunataka uwe shemeji yetu kwa Evelyn banaa
 
Tuna matatizo 3 nchini Tanzania maradhi,Ujinga na Umasikini sasa cjuwi huyu mtoa mada yupo kundi gani.
 
Mkuu heaven on desert
Nitafurahi kusikia mwaka huu nyumba ya Diamond imekwisha na kahamia kwake.
 
Last edited by a moderator:
Hiyo hotel kwenye picha ni Naf Blue view hotel ipo mtwara shangani west jirani na Veta kwa mtwara inaonekana ni 5 star ila kwa dar ipo tu kama grand villa hizo picha tu za usiku ni yakawaida sana...

Sahihisho: Naf Blue View Hotel ni Hotel dada ya NAF BEACH HOTEL, ambayo ndo hiyo uliyoitaja iliyoko Shangani West na sifa zote ulizozitaja ambazo kimsingi ni kweli, ila kimkoa mkoa, ni kali sana inazizidi Hotel nyingi za mikoani na hadi za Dar pia. Ile NAF BLUE VIEW HOTEL iko eneo moja karibu na Stendi/ Sokokuu( Kanisa la Biblia, barabara ya Makonde), nadhani ni mtaa wa RAHALEO, katikati ya Manispaa ya Mtwara-Mikindani.
 
Hiyo hotel kwenye picha ni Naf Blue view hotel ipo mtwara shangani west jirani na Veta kwa mtwara inaonekana ni 5 star ila kwa dar ipo tu kama grand villa hizo picha tu za usiku ni yakawaida sana...

Sahihisho: Naf Blue View Hotel ni Hotel dada ya NAF BEACH HOTEL, ambayo ndo hiyo uliyoitaja iliyoko Shangani West na sifa zote ulizozitaja ambazo kimsingi ni kweli, ila kimkoa mkoa, ni kali sana inazizidi Hotel nyingi za mikoani na hadi za Dar pia. Ile NAF BLUE VIEW HOTEL iko eneo moja karibu na Stendi/ Sokokuu( Kanisa la Biblia, barabara ya Makonde)
 
Mwanzo mgumu; nabii ni ngumu kukubaliwa kwao....Nigeria walikuwa na same mentality ya kuwadharau wasanii wao...lakini sasa wamebadilika wanawapigia salute...Nina imani Diamond ataanza kuthaminiwa na Watanzania soon and very soon....

Hahahaaaa....binadamu wote hawawezi kumkubali. Akazane tu afikie na kupita malengo yake
 
Mwanzo mgumu; nabii ni ngumu kukubaliwa kwao....Nigeria walikuwa na same mentality ya kuwadharau wasanii wao..Nina imani Diamond ataanza kuthaminiwa na Watanzania soon and very soon....
Ondoa shaka, Diamond anakubalika na wengi maradufu kuliko wanaomchukia...msingi wa hao wanamchukia ni kwamba wana watu wao ambao wangetamani ndo wawe kwenye nafac ya Diamond! Unfortunately, huu ni wakati wa Diamond-kuchukia ni kujitafutia ugonjwa wa moyo!
 

Kweli kabisa mkuu. Tena ni kuwaambia wale wote wanaomponda kuwa huyooo BLACK ENTERNTAINMENT TELEVISION (BET) tena akiwa ni msanii pekee toka A-Mashariki
 
Kweli kabisa mkuu. Tena ni kuwaambia wale wote wanaomponda kuwa huyooo BLACK ENTERNTAINMENT TELEVISION (BET) tena akiwa ni msanii pekee toka A-Mashariki

Na Kenya pia ana mashabikii watampigia tuuu labda waanze ukabila wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…