heaven on desert
JF-Expert Member
- Jan 25, 2013
- 1,025
- 393
- Thread starter
- #121
Kwa hiyo huna jipyaaaa aisee umewahiwaaa
ha ha mbona namzimiaga sana tu ndiyo niko njia kuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo huna jipyaaaa aisee umewahiwaaa
Nawambiajee ? Sio Sultani CCM hawezi kushinda Zanzibar tu hata Tanganyika CCM haina ubavu wa kushinda itakufa kifo cha mjusi macho nje.
santeeAseee hongera bana una mtoto mkare.
Tuna matatizo 3 nchini Tanzania maradhi,Ujinga na Umasikini sasa cjuwi huyu mtoa mada yupo kundi gani.
Shosti hata mi nimemkubali...mkareeeeee
Ila kuna mmoja alimuweka mbali jana sijui mmmh yule alikuwa kifuu
huyu safiiii
Hahahahaha
Mwl Evelyn Salt naona una chart na celeb mwenzio.
Ha ha ha celebrity mwenzangu...
Mkuu heaven on desert
Nitafurahi kusikia mwaka huu nyumba ya Diamond imekwisha na kahamia kwake.
Hiyo hotel kwenye picha ni Naf Blue view hotel ipo mtwara shangani west jirani na Veta kwa mtwara inaonekana ni 5 star ila kwa dar ipo tu kama grand villa hizo picha tu za usiku ni yakawaida sana...
Hiyo hotel kwenye picha ni Naf Blue view hotel ipo mtwara shangani west jirani na Veta kwa mtwara inaonekana ni 5 star ila kwa dar ipo tu kama grand villa hizo picha tu za usiku ni yakawaida sana...
Hahahaaaa....binadamu wote hawawezi kumkubali. Akazane tu afikie na kupita malengo yake
Ondoa shaka, Diamond anakubalika na wengi maradufu kuliko wanaomchukia...msingi wa hao wanamchukia ni kwamba wana watu wao ambao wangetamani ndo wawe kwenye nafac ya Diamond! Unfortunately, huu ni wakati wa Diamond-kuchukia ni kujitafutia ugonjwa wa moyo!Mwanzo mgumu; nabii ni ngumu kukubaliwa kwao....Nigeria walikuwa na same mentality ya kuwadharau wasanii wao..Nina imani Diamond ataanza kuthaminiwa na Watanzania soon and very soon....
Ondoa shaka, Diamond anakubalika na wengi maradufu kuliko wanaomchukia...msingi wa hao wanamchukia ni kwamba wana watu wao ambao wangetamani ndo wawe kwenye nafac ya Diamond! Unfortunately, huu ni wakati wa Diamond-kuchukia ni kujitafutia ugonjwa wa moyo!
Kweli kabisa mkuu. Tena ni kuwaambia wale wote wanaomponda kuwa huyooo BLACK ENTERNTAINMENT TELEVISION (BET) tena akiwa ni msanii pekee toka A-Mashariki
Chezea Wakenya wewe! Hapa ni kumuunga mkono wenyewe hao wengine iwe supplement tu!Na Kenya pia ana mashabikii watampigia tuuu labda waanze ukabila wao
Daah,em nifanyie mpango niupate na mie