Hivi Kilimanjaro Kempisk unaichukulia poa?
Na je hapo sinza alipo panga ni 5star?
Kama anazo na anaamini anazo ahame Sinza akanunue apartment Oysterbay au Masaki aendane na hadhi yake,
Pia ile nyumba asiigige tena picha aweke Instagram mpaka ikamilike,
Ajifunze kwa Masanja hatangazi utajiri wake ila unajulikana.