mwanafyale
JF-Expert Member
- Sep 27, 2010
- 1,641
- 538
Kwani kazi yake sio nzuri?Msanii anasifiwa kwa kazi yake, si kwa gharama ya kumlipa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani kazi yake sio nzuri?Msanii anasifiwa kwa kazi yake, si kwa gharama ya kumlipa.
Hivi Kilimanjaro Kempisk unaichukulia poa?
Na je hapo sinza alipo panga ni 5star?
Kama anazo na anaamini anazo ahame Sinza akanunue apartment Oysterbay au Masaki aendane na hadhi yake,
Pia ile nyumba asiigige tena picha aweke Instagram mpaka ikamilike,
Ajifunze kwa Masanja hatangazi utajiri wake ila unajulikana.
Kwani kazi yake sio nzuri?