Kama ulikuwa unamchukulia poa Diamond, jipange sana

Kama ulikuwa unamchukulia poa Diamond, jipange sana

Naona Diamond amekuwa nominated BET awards!!! Hongera kwake
 
hahaha anavyo penda kuuza sura angeshatupia tayari humu.

kuwa na mpenzi ni kupenda sifa?afu mpenzi wangu siyo demu...tafuta thread ya birthday aliyonifanyia penny,niliwewka na picha nikiwa na kipenzi changu
labda sema kingine
 
Acha uongo hapo sio london ni amsterdam wapo safarini bado na hiyo picha mpigaji ni babu tale nilichotaka kusema ni cameraman tulioqmbiwa yupo wapi baunsa yupo wapi au kazi za hao watu ni kusaidia kuuza sura hapa bongo au kwenye safari zake hana uwezo wa kuwasafirisha sasa wa kazi gani
Soma chini ya hii picha

Huyu jamaa hajielewi Kesha vurugwa huyu sio bure
 
kuwa na mpenzi ni kupenda sifa?afu mpenzi wangu siyo demu...tafuta thread ya birthday aliyonifanyia penny,niliwewka na picha nikiwa na kipenzi changu
labda sema kingine

Si ndio kale kabaya baya unakazidi uzuriii (joke
 
Hanaa demu angekua ashamuwekaa humu
hod.jpg
jibu la swali lenu,n tu pamoja 4years now qn of sheba Evelyn Salt Dinazarde
@ q Dinazarde n of sheba
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom