Kama ulimwengu ungekuwa ni Usiku tu ama Mchana tu, maisha yetu yangekuwaje?

Kama ulimwengu ungekuwa ni Usiku tu ama Mchana tu, maisha yetu yangekuwaje?

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
21,470
Reaction score
40,593
Kwa sasa maisha yetu ya kila siku huamuliwa kwa kuwepo kwa mchana na usiku. Jee ulimwengu ungekuwa na usiku tu ama na mchana tu, maisha yetu yangekuwaje??
 
Haya masaa 12 yangekua sawa na 24...
 
USIKU TUU, tungekufa wote tungekula nini na mimea inategemea jua kuishi na kutupatia chakula.
Sunlight is the source of life.
 
Back
Top Bottom