Allen Kilewella JF-Expert Member Joined Sep 30, 2011 Posts 21,470 Reaction score 40,593 Jan 30, 2023 #1 Kwa sasa maisha yetu ya kila siku huamuliwa kwa kuwepo kwa mchana na usiku. Jee ulimwengu ungekuwa na usiku tu ama na mchana tu, maisha yetu yangekuwaje??
Kwa sasa maisha yetu ya kila siku huamuliwa kwa kuwepo kwa mchana na usiku. Jee ulimwengu ungekuwa na usiku tu ama na mchana tu, maisha yetu yangekuwaje??
MAWEED JF-Expert Member Joined Oct 11, 2016 Posts 3,550 Reaction score 12,239 Jan 30, 2023 #2 Haya masaa 12 yangekua sawa na 24...
harakati za siri JF-Expert Member Joined Aug 23, 2020 Posts 1,074 Reaction score 2,870 Jan 30, 2023 #3 USIKU TUU, tungekufa wote tungekula nini na mimea inategemea jua kuishi na kutupatia chakula. Sunlight is the source of life.
USIKU TUU, tungekufa wote tungekula nini na mimea inategemea jua kuishi na kutupatia chakula. Sunlight is the source of life.