Network itakata tena uzinduke 2022. Utakapokuta Tanesco imeuzwa kwa WachinaHujakaa vizuri unakutana na tozo, ukituma elf 10, inatolewa elf 3.
Network itakata tena uzinduke 2022. Utakapokuta Tanesco imeuzwa kwa Wachina
JNHP imesimamishwa kwa ajili ya Mazingira
Ikulu iko tena Magogoni
Mgambo wa AMCos wanapindua sufuri za mama lishe town, Chinga bai bai.
Halafu dada Poa wanaenda door to door kama vijana wa kusajili laini za simu
Na mwenyekiti wetu naye yuko selo!Sabaya yuko selo
Hii ua door to door... 🤣🤣🤣🤣Network itakata tena uzinduke 2022. Utakapokuta Tanesco imeuzwa kwa Wachina
JNHP imesimamishwa kwa ajili ya Mazingira
Ikulu iko tena Magogoni
Mgambo wa AMCos wanapindua sufuri za mama lishe town, Chinga bai bai.
Halafu dada Poa wanaenda door to door kama vijana wa kusajili laini za simu
Yaaan bas tyuuh.Kuna wengine kwao ni ndoto ambazo hawatamani ziishe, halafu kuna sisi tunaotamani tuamke tuseme "Thank you God, it was just a dream".
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unaamua kuangalia habari za kimataifa unamkuta Messi yupo timu moja na Sergio Ramos halafu Ronaldo yupo Manchester [emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]khaaaahNetwork itakata tena uzinduke 2022. Utakapokuta Tanesco imeuzwa kwa Wachina
JNHP imesimamishwa kwa ajili ya Mazingira
Ikulu iko tena Magogoni
Mgambo wa AMCos wanapindua sufuri za mama lishe town, Chinga bai bai.
Halafu dada Poa wanaenda door to door kama vijana wa kusajili laini za simu
Kama ndo wewe ulipoteza fahamu ukapelekwa ICU mwezi February..
Ukafanikiwa kutoka na kupona mwezi wa nane...yaani miezi sita ulikuwa hujui
Nini kinaendelea nchi hii..
Ghafla unatazama TV ..Rais ni Samia..
Unajaribu kuuliza unaambiwa JPM alifariki..zinakuja habari za michezo ..
Msemaji wa Yanga Haji Manara....
Unaweza sema hukazinduka bado?Uko kwenye usingizi unaona mauzauza?
Umewahi kuwaza how hii miezi sita imekwenda Kasi sana Tz?
Sabaya yuko selo