Kama ulipelekwa ICU February ...

Kama ulipelekwa ICU February ...

Hujakaa vizuri unakutana na tozo, ukituma elf 10, inatolewa elf 3.
Network itakata tena uzinduke 2022. Utakapokuta Tanesco imeuzwa kwa Wachina
JNHP imesimamishwa kwa ajili ya Mazingira

Ikulu iko tena Magogoni
Mgambo wa AMCos wanapindua sufuri za mama lishe town, Chinga bai bai.
Halafu dada Poa wanaenda door to door kama vijana wa kusajili laini za simu
 
[emoji28][emoji28][emoji28]
Eti dada poa wako door to door jaman
Ila Mungu atuepushie mana tunapoenda
 
Network itakata tena uzinduke 2022. Utakapokuta Tanesco imeuzwa kwa Wachina
JNHP imesimamishwa kwa ajili ya Mazingira

Ikulu iko tena Magogoni
Mgambo wa AMCos wanapindua sufuri za mama lishe town, Chinga bai bai.
Halafu dada Poa wanaenda door to door kama vijana wa kusajili laini za simu
Hii ua door to door... 🤣🤣🤣🤣
 
Unaamua kuangalia habari za kimataifa unamkuta Messi yupo timu moja na Sergio Ramos halafu Ronaldo yupo Manchester [emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Network itakata tena uzinduke 2022. Utakapokuta Tanesco imeuzwa kwa Wachina
JNHP imesimamishwa kwa ajili ya Mazingira

Ikulu iko tena Magogoni
Mgambo wa AMCos wanapindua sufuri za mama lishe town, Chinga bai bai.
Halafu dada Poa wanaenda door to door kama vijana wa kusajili laini za simu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]khaaaah
 
Kama ndo wewe ulipoteza fahamu ukapelekwa ICU mwezi February..
Ukafanikiwa kutoka na kupona mwezi wa nane...yaani miezi sita ulikuwa hujui
Nini kinaendelea nchi hii..
Ghafla unatazama TV ..Rais ni Samia..
Unajaribu kuuliza unaambiwa JPM alifariki..zinakuja habari za michezo ..
Msemaji wa Yanga Haji Manara....

Unaweza sema hukazinduka bado?Uko kwenye usingizi unaona mauzauza?

Umewahi kuwaza how hii miezi sita imekwenda Kasi sana Tz?

Ongezea pia hawa:

IMG-20210725-WA0007.jpg
 
Sisi wengine kama nitafikiri ni ndoto basi nitaomba nisiamke ili hiyo ndoto iendelee.
 
Back
Top Bottom