Kama ulipozaliwa ulikuwa hujui unatoka wapi kwanini basi tukifa tunaambiwa tunaenda mbinguni nk?

Kama ulipozaliwa ulikuwa hujui unatoka wapi kwanini basi tukifa tunaambiwa tunaenda mbinguni nk?

Soma biblia acha utani.Wanadamu sote tumeumbwa.soma kitabu Cha mwanzo kinachofuata ni kuzaliana ambako pia hutegemea power of God.
pia siyo Kila mtu akifa anaenda mbinguni.
Waebrania 9:27Na kama vile watu wanavyowekewa kufa mara moja, na baada ya kufa hukumu;
NB Mbinguni pana credentials zake iwe tayari kufundishwa na kusoma biblia (neno la Mungu la kweli) utajua
 
Back
Top Bottom